ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
🤣🤣😂🤣👇👇
Hakuna kitu utanidanganya kwenye masuala ya magari never ever my friend 🤣
🤣🤣😂🤣👇👇
Sawa chairman wa Golden Dragon 😂😂🤣😂Hakuna sehemu kuna partership kati ya golden dragon na banbros hakuna na hutaipata 🤣🤣🤣🤣 na hakuna assembly plant ya golden dragon bus kenya haipo na haitatokea
Hzi ndio zile zile nazungumza classic bus kampa order banbros na huyo banbros kaenda china kununua chasis engine na body zimekuja kaunganisha na sasa zinakwenda congo kwa mteja full stop 🤣🤣 lakini official assembly plant hakuna na haitakuwepoAcha nikuonyeshe golden Dragon buses assembled in Kenya by Banbros and Chinese partnership 😂😂👇👇
View attachment 2563837
🤣🤣🤣🤣🤣 leo nimecheka sana yani unataka kunifunga kamba mchana kweupe
Hakuna kitu utanidanganya kwenye masuala ya magari never ever my friend 🤣
Chairman kasema hizi sio buses za Golden Dragon 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 leo nimecheka sana yani unataka kunifunga kamba mchana kweupe
👏👏👏👏👏👏 tumeona assembly plant ya golden dragon kenya tufurahi kwa pamoja🤣
Wewe kweli ni fala😂🤣😂. Umesema vizuri kwamba Banbros walinunua chassis na body alafu wakakuja kuunganisha Kenya. In the next comment unasema ati hakuna assembling ya Dragon buses inafanyiwa na Banbros, kweli unajielewa?🤣😂😂Hzi ndio zile zile nazungumza classic bus kampa order banbros na huyo banbros kaenda china kununua chasis engine na body zimekuja kaunganisha na sasa zinakwenda congo kwa mteja full stop 🤣🤣 lakini official assembly plant hakuna na haitakuwepo
Hao watu wanafanya nini hapo? Na assembly plant huwa inafana aje?Hii ndio assembly plant kwa macho tu jamani 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌View attachment 2563850
Mm kweli sina akili kwann ulisema golden dragon bus zote za tanzania zimetoka kenya???🤣🤣🤣 ni kweli hakuna assembly plant ya golden dragon kenya sasa unataka niseme ipo wakat muunganishaji mwenyewe ndio huyo banbros magumashi matupu acheni janjajanjaWewe kweli ni fala😂🤣😂. Umesema vizuri kwamba Banbros walinunua chassis na body alafu wakakuja kuunganisha Kenya. In the next comment unasema ati hakuna assembling ya Dragon buses inafanyiwa na Banbros, kweli unajielewa?🤣😂😂
Evidence pleaseGolden Dragon wamepartner na Banbrose to assemble their buses in Kenya. Unataka kulia?![]()
🤣🤣🤣🤣 hii ndio assembly plant budaa kwa leo inatosha 🙌🙌🙌🙌🙌Hao watu wanafanya nini hapo? Na assembly plant huwa inafana aje?
Maybe sijui vile assembly plant inafana, ebu tuonyeshe ya Tanzania 🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣 hii ndio assembly plant budaa kwa leo inatosha 🙌🙌🙌🙌🙌
Kama hii ndio assembly plant basi kwa leo inatosha 🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌Maybe sijui vile assembly plant inafana, ebu tuonyeshe ya Tanzania 🤣😂🤣
Hahahaha, umewashika kwenye kinena wanataka kupiga "U - turn".so umebadilisha mada sio ww uliosema bus za golden dragon za tanzania zimekua assembled kenya ??
I don't repeat myself. If you are interested in our discussion you scroll back to where we started, you will get the evidence there.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 atakuletea janjajanja ya banbrose kakufasanya engine na diff anakwambia assembly plant