Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aliondoa kwasababu" it is not sustainable", hakuna nchi yoyote hapa Africa yenye kuweka sudsidy kwenye chakula na mafuta kwa kipindi Cha zaidi ya miezi sita, 40% ya imports za nchi ni mafuta.

Sasa jiulize, pamoja na kuondoa subsidy lakini bado Kenya inakumbwa na upungufu wa pesa za Kigeni, hali ingekuaje Kama angeweka hiyo subsidy?.

Tatizo lenu Kenya ni "low productivity" katika sectors zote kuanzia kilimo, manufacturing sector na maeneo mengine, matokeo yake Kenya imegeuka kuwa ni nchi ya kutumia "Consumption economy".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa unaona vile unajikanganya. Hapo awali ulisema ikitokea bei za bidhaa muhimu kupanda, mtaweka subsidy. Sasa ngoma imebadilika tena eti hakuna nchi hapa Africa yenye inaweza weka subsidy. Kwa hivyo nyinyi mpo ulaya?
 
Mombasa SGR station.

1679570420984.jpg
 
Mkuu sisi watanzania huwa hatujali sana mambo ya kisiasa sisi tunachotaka ni maendeleo pasipo kujali chama kitakuwa kipi, tofauti sana na ninyi wenzetu kidogo siasa mmeiweka mbele sana kuliko maendeleo. Ndio maana unaona tangu Tz iamke imekuwa ikiwapa shida sana kimaendeleo kwasababu sisi huku ni kazi tu kama China hatuna mda na siasa, zikipita zimepita, huku kwetu yeyote yule anaweza ongoza nchi na wala huwezi kusikia tatizo la njaa.
sasa kama hamuweki siasa mbele kama wakenya kwa nini kenya imepiga maendeleo kuwaliko?
 
Hatujajaribu, Mombasa has more bridges than Dar and Mwanza combined.
Nimesema mmejaribu kwasababu sisi huku kwetu tuna madaraja marefu kuliko hilo Boss, mfano hili hapa ni Magufuli bridge ambalo ni mara mbili ya hilo lenu kwa urefu. Hilo lenu ni 1.4km ila hili 3.2km samahani lkn kama nimekukwaza.
1679572157199.jpg
1679572527750.jpg
 
Mkuu huwezi kuandamana bila sababu ya msingi, sababu ikiwepo lazima muandamane hata kama serikali haitaki mana hata nyie huko kwenu mmeandamana licha ya kwamba serikali haitaki.
wakenya wakaletwa tanzania wanapata sababu kama elfu moja za kuandamana huko KAMA KATIBA MPYa etc
watanzania hadi kwa kujielewa bado mko chini sana
 
Back
Top Bottom