Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Punga wewe, US hawaandamani kisa chakula washatoka huko miaka mingi iliyopita zaidi ya 500, nyie watu wa kale a.k.a mazinjathropus ndio mmebaki kupiga kelele za chakula karne hii ya 21, mnaiaibisha sana East Africa pumbavu nyinyi tangu uhuru hadi leo mnapiga kelele za chakula tu hamuoni haya?
Bongolala, people demonstrate for various reasons. From schools to colleges to countries, demonstrations and protests are not a new thing. But Utaelewaje wakati hata mgomo wa shule/chuo hujawahi shiriki?

Kenyans were protesting against high cost of living, sio unga. Unga was adversely mentioned because it's the staple food in Kenya.

Maandano kama hayo yalifanyika as recent as last year in England, a developed country.

Sasa wewe unaposema kwamba nchi kama US ilishatoka huko 500 years ago, just shows how much you are out of touch with the rest of the world.

Nyinyi mitanganyika hakuna mnachojua zaidi ya kupiga domo. Hapo hamna mpinzani!
 
Stop the sideshows and stick to the topic. Kiswahili mufti peleka shuleni, si hapa jukwaani
Kaka yako huyu hapa anaitwa Nixau, mnafanana sana na wote ni watu wa kale.
tapatalk_768669706.jpg
 
Animals do not have sex bongolala, animals mate. Labda za kwako hapo Tandale kwa mfuga mbwa ndio u have sex! Na unajifanya hapa you know everything yet hakuna unachojua

Kwamba US hakuna destruction of
Property during protests?? Wewe sijui unaishi duniani gani. When George Floyd was killed by police in 2020, violent protests erupted in over 140 US cities and properties worth more than $1 billion was destroyed, more than any America has witnessed in any other violent demonstrations in recent American history
View attachment 2561360View attachment 2561361View attachment 2561362View attachment 2561363View attachment 2561364View attachment 2561365
So, I hope now you know America is not the biggest democracy in the world, isn't?.

The term "biggest democracy" refers to population, there fore the biggest democracy according to western definition is India, not USA.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
They are all protests. Utajuaje umuhimu wake wakati wewe huwezithubuti kufanya hivyo hapo Tandale?

Mwenzako alisema US hakuna violent protests wala uharibifu wa mali. Baada ya kumuumbua unakuja na povu
Aliyeumbuka ni wewe uliyesema Marekani is the biggest democracy in the world, at the same time unaweka picha zinazoonyesha machafuko kutokana na kunyanyaswa na kuuliwa kwa watu weusi huko Marekani, inaonekana hata maana ya demokrasia hujui.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
They are all protests. Utajuaje umuhimu wake wakati wewe huwezithubuti kufanya hivyo hapo Tandale?

Mwenzako alisema US hakuna violent protests wala uharibifu wa mali. Baada ya kumuumbua unakuja na povu
Aliyeumbuka ni wewe uliyesema Marekani is the biggest democracy in the world, at the same time unaweka picha zinazoonyesha machafuko kutokana na kunyanyaswa na kuuliwa kwa watu weusi huko Marekani, inaonekana hata maana ya demokrasia hujui.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Bongolala, people demonstrate for various reasons. From schools to colleges to countries, demonstrations and protests are not a new thing. But Utaelewaje wakati hata mgomo wa shule/chuo hujawahi shiriki?

Kenyans were protesting against high cost of living, sio unga. Unga was adversely mentioned because it's the staple food in Kenya.

Maandano kama hayo yalifanyika as recent as last year in England, a developed country.

Sasa wewe unaposema kwamba nchi kama US ilishatoka huko 500 years ago, just shows how much you are out of touch with the rest of the world.

Nyinyi mitanganyika hakuna mnachojua zaidi ya kupiga domo. Hapo hamna mpinzani!
Bei ya unga ndio 'main subject", vingine ni bei ya mafuta, umeme na school fees.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Aliyeumbuka ni wewe uliyesema Marekani is the biggest democracy in the world, at the same time unaweka picha zinazoonyesha machafuko kutokana na kunyanyaswa na kuuliwa kwa watu weusi huko Marekani, inaonekana hata maana ya demokrasia hujui.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ulisema Americans don't destroy their property during demonstrations and Nicxie have exposed your stupidity big time. Sasa unatafuta pa kujifichia🤣🤣🤣😂
 
Ulisema Americans don't destroy their property during demonstrations and Nicxie have exposed your stupidity big time. Sasa unatafuta pa kujifichia
The most stupid is the one who said America is the biggest democracy at the same time he posts photos of violances against racism and segregation in America

Back
Top Bottom