Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania sasa mpo obsessed na kenya. Nyuzi zaidi ya 20 kuhusu maandamano ya kenya na hakuna hata moja imefunguliwa na mkenya
Kenya huwa inazungumzwa Sana huku Tanzania katika mambo ya hovyo tu, Kama ambavyo Afghanistan, Yemen na Syria zinavyogonga vichwa vya habari duniani

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wakenya bado wanahangaika na Basic needs of human

1679463108420.png
 
Eleza nchi zote duniani ambazo zinatawaliwa kwa haki na sheria hasa zilizoendelea, umeshaona maandamano yenye fujo na watu kupigwa hovyo na polisi?, taja nchi Moja tu.

Taja nchi yoyote hapa Afrika yenye maendeleo ya kidemokrasia na kiuchumi na usawa wa mgawanyo wa Mali na uongozi wa serikali ambayo inakumbwa na maandamano Kila mwaka.

South Afrika ni "unique" kutokana na "Economic inequalities among it's people". Kumbuka SouthAfrika ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa "economic inequalities".

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bongolala, people picket even in the United States of America, the biggest democracy in the world. Wewe kama huwezifanya hivyo kwa kuogopa kufinywa kende zako na serikali yenu, wacha nchi ambazo wanafurahia huo uhuru wa kimsingi wafurahie uhuru wao
 
Nimekuelewa kaka, tatizo halipo kwenye ligi wala kuwa na wachezaji wageni bali timu ya Taifa. Kwa hoja yako hiyo ya competence, inakuwaje nchi za Afrika Magharibi zenye ligi mbovu kuweza kufanya vizuri kwenye timu zao za taifa?
Mkuu, ukiambiwa uchague kimoja kati ya kuwa na ligi Bora au timu Bora ya taifa, unachagua kipi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, ukiambiwa uchague kimoja kati ya kuwa na ligi Bora au timu Bora ya taifa, unachagua kipi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
The pride of any country is the performance of its national team at the international stage. Timu ya taifa ndio inapeperusha bendera ya nchi. Nitajie ni wapi bendera ya Uingereza hupeperushwa Arsenal ama Man Utd wanapocheza
 
Nimekuelewa kaka, tatizo halipo kwenye ligi wala kuwa na wachezaji wageni bali timu ya Taifa. Kwa hoja yako hiyo ya competence, inakuwaje nchi za Afrika Magharibi zenye ligi mbovu kuweza kufanya vizuri kwenye timu zao za taifa?
Kwasababu wachezaji wao wengi wanacheza nchi za nje. Chukulia nchi ya DRC na Senegal, wachezaji wao wote wa timu ya taifa hucheza ligi za Ulaya na Asia. Sababu kubwa ni historia ya muda mrefu ya michezo ya nchi hizi.

Sisi ndio tumeanza hivi Sasa, tukiendelea hivi, baada ya miaka 20, timu yetu ya taifa itakua na 90% wachezaji wanacheza nje.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa ni hivyo, zile ligi maarfu za ulaya hazingeweka quota system that ensures homegrown talent is given first priority in their leagues
Sidhani kama ulinielewa vyema hapo juu, huo msemo hapo unamaanisha kila kitu kwa kiasi.
 
Watanzania sasa mpo obsessed na kenya. Nyuzi zaidi ya 20 kuhusu maandamano ya kenya na hakuna hata moja imefunguliwa na mkenya
Sasa Kenya kuna nini cha kuongelea zaidi ya njaa na maandamano?😅😅
 
Back
Top Bottom