Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,657
Yaani leo nyie nyang'au mna hasira ile mbaya😂😂😂Sasa tukisema ni kuhusu high cost of living in nini huelewi? Wewe unaweza kununua hiyo mafuta na unga kwa bei ya juu kuliko hata hii yetu but you won't do anything about it coz huo uhuru wa kujieleza hauna. Alafu uko hapa kupiga kelele dhidi ya wakenya wanaondamana dhidi ya gharama ya juu ya maisha!!

