Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar ni slum yote Hadi kwa CBD
Teargas Head 🤣 🤣 🤣

empty-head-empty.gif
 
Hebu wait 241 units 🤣🤣🤣🤣 huyo mwekezaji ana faida gani hebu ww niambie si ndio hayo tunayosema wawekezaji wanakimbia kenya hakuna biashara wala uchumi au???
Wewe huoni Kuna increase? Yani tunawauzia gari na this year naona our vehicle export to Tanzania ikifika 400.
 
Na bado hamuma umeme wa ubakika na umeme bei juu munalia kila siku 🤣🤣🤣🤣
Unadhani Kenya ni kama Tanzania penye Kuna power rationing?😂😂🤣😂
 
Haitabadilisha ukweli kua rostam ndio mwanaume pekee kuekeza pesa nyingi kenya toka mumepata uhuru haitabadilika hvo 🤣🤣🤣
Mwarabu? Nilidhani utaongelea mtanzania🤣😂😂🤣
 
Back
Top Bottom