Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hope ni GTC hapa ?? Weka clear ili watu waelewe wasije kufkiri nijengo tofaut na GTC ya mchina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] naona mpigaji kapiga kwa lengo la kuwadanganya watu
Daily ni picha hizo hizo, wameona tumeeastukia wameanza ku change angle ili waongope.
 
Diplomasia ya Uchumi

1679060261109.png
 
Hivi wewe upo na akili timamu?, Mbona unauliza maswali ya kisenge?, Kama watu wamefika hatua ya kutaka kuiangusha serikali kwa nguvu kwa sababu hawana uwezo tena wa kujikimu kimasisha, bado unataka utajiwe mtu mmoja?.

Yaani unataka kutuambia kwamba wakenya ni watu wa fujo, wapo tayari hata ya kupoteza maisha Yao kwa mambo ambayo sio serious?.

Hali ya maisha Kenya imefikia "unbearable", people are ready to die but can't continue to live under the current situation

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Opposition MP saying anything to remain relevant. The reality tells a different story.

GDP 2015

Kenya - $70 B
Tanzania - $47 B
Gap - $23

GDP 2023

Kenya - $117
Tanzania - $84
Gap - $33
Endeleeni kujipa matumaininya uongo lakini mkae mkujua viongozi wenu vichwa vinawauma na sasa washaanza kuongea ukweli na mapema 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Opposition MP saying anything to remain relevant. The reality tells a different story.

GDP 2015

Kenya - $70 B
Tanzania - $47 B
Gap - $23

GDP 2023

Kenya - $117
Tanzania - $84
Gap - $33
Endeleeni hvo hvo tu 🤣🤣🤣
 
Dunia inabadilika nyinyi bado mumekaa kusifia uongo na ujinga 🤣🤣🤣🤣

As I was telling your friend. India has a similar agreement with many other countries including Kenya.
In fact, Tanzania ndio nchi ya mwisho kuingizwa kwenye huu mkataba.

Lakini because you don't have freedom of the media there, you think that it has only happened to you. Mmechelewa hata.

india.JPG
 
View attachment 2555426
Hehehhe nyinyi munafanya biashara na nani kwa kutumia pesa zenu?? Ikiwa dollar imekauka kenya na hamuna hata dollar ya kuagiza mafuta kwann hamkutumia pesa zenu kuagiza mafuta 🤣🤣🤣

Badilikeni dunia ishabadilika acheni sifa za uongo hazina faida wala maana kwa dunia hii
 
Endeleeni kujipa matumaininya uongo lakini mkae mkujua viongozi wenu vichwa vinawauma na sasa washaanza kuongea ukweli na mapema 🤣🤣🤣🤣🤣

Kwetu unaweza sema chochote unachotaka bila kufungwa. Naelewa hilo ni jambo geni bongolala.
Wabunge wa upinzani watafanya kazi yao, na serikali itafanya kazi yake.

Ukiwa na swali nenda ukaulize wasahibu wa IMF na World Bank. Hao ndio wamesema nyinyi ni maskini wakutisha.
 
Opposition MP saying anything to remain relevant. The reality tells a different story.

GDP 2015

Kenya - $70 B
Tanzania - $47 B
Gap - $23

GDP 2023

Kenya - $117
Tanzania - $84
Gap - $33
Unashangilia GDP wakat debt to GDP ratio iko kwenye red line sasa munaelekea 10trillion ksh alaf bakia hapa kukenua meno huyo MP anajua kuliko wewe chizi🤣🤣

Huyu anaongea hali halisi sio zile sifa za nye nye nye 👇👇👇
 
Hehehhe nyinyi munafanya biashara na nani kwa kutumia pesa zenu?? Ikiwa dollar imekauka kenya na hamuna hata dollar ya kuagiza mafuta kwann hamkutumia pesa zenu kuagiza mafuta 🤣🤣🤣

Badilikeni dunia ishabadilika acheni sifa za uongo hazina faida wala maana kwa dunia hii

I'm glad you asked. Ni kama hii habari ya Tuesday ilikupita.

dollar.JPG
 
Back
Top Bottom