ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
So MP hajui chochote kuliko ww mnuka uharo ?? Yani yule yuko kwenye serekali awe hajui hali halisi kuliko wewe chizi 🤣🤣🤣 viongozi wenubwanajaribu kuwaambia ukweli na ukweli hamuutakiKwetu unaweza sema chochote unachotaka bila kufungwa. Naelewa hilo ni jambo geni bongolala.
Wabunge wa upinzani watafanya kazi yao, na serikali itafanya kazi yake.
Ukiwa na swali nenda ukaulize wasahibu wa IMF na World Bank. Hao ndio wamesema nyinyi ni maskini wakutisha.