Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanalalamika wakenya maskini maisha yanakwenda juu haya mutashindana na nchi gani nyinyi ikiwa stima inakwenda juu kila siku 🤣🤣🤣🤣

Kulalamika ndio kushindwa kulipa? Nimekuambia unionyeshe mwenye amedisconnect stima kwake juu ya bei ukashindwa😂😂🤣😂
 
Warabu wanatoka region gani Tanzania? Babu ya Babu yake alizaliwa region gani Tanzania?😂😂🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshots_2023-03-17-14-26-19.png
 
Rostam kazaliwa tanzania kakulia tanzania kafanya biashara zake tanzania sasa unatakaje labda hebu tuambie tunaeza rekebisha tumfukuze au?🤣🤣🤣
Sasa mwenye amezaliwa Tanzania ni mtanzania?😂🤣😂🤣 Babu yake alizaliwa wapi?😂😂🤣😂
 
Kulalamika ndio kushindwa kulipa? Nimekuambia unionyeshe mwenye amedisconnect stima kwake juu ya bei ukashindwa😂😂🤣😂
Kulalamila sana ni dalili ya kushindwa na maisha ukiona mtu analalamika sana hana chakula au analalamika sana njaa ujue tayar maisha yameanza kumtandika 🤣🤣
 
Kubishana na huyo mbwa ni kupoteza muda.. I think it's about the time to ignore her
Siniliwaambia toka jana anaweka picha za akothee akipiga picha na gari za watu huko ulaya anakuja wadanganya nyinyi bado wanaakili ya kujisifia ujinga 🤣🤣🤣🤣 kaenda kubadilisha id sasa utaona id nyingine imekuja na moto
 
I don't expect much from LDC. 😂 😂
Tofauti yenu na DRC ni gani?
 
I don't expect much from LDC. 😂 😂
Tofauti yenu na DRC ni gani?
Ndio maana munakua wajinga sana nyinyi
Saud arabia kabarikiwa oil and gold ulitaka auze mahindi ili aonekane bora ???🤣🤣🤣

Yani munachoumia nyinyi ni kwann tanzania export to south africa ni kubwa kuliko yao hicho ndicho kinawauma 🤣🤣🤣🤣
 
Kangemi slum in Nairobi has better paved roads than Mbezi beach tz
and Kenya is half tz size
Kunyaland hivi kuna ujenzi wowote unaendelea huko?

Hizi barabara zipo kwenye hatua za mwisho kupata constructors

1. KIBAHA~ MLANDIZI ~ CHALINZE ~MOROGORO (205km)
Tender Number: AE/001/2021-22/HQ/W/62

2.MAFINGA~ MTWANGO (81km)
Tender Number: AE/001/2021-22/HQ/W/69

3.KARATU ~ MBULU ~ HYDOM~LALAGO~MASWA (389km)
Tender Number: AE/001/2021-22/HQ/W/68

4.MASASI ~NACHINGWEA ~ LIWALE (175km)
Tender Number: AE/001/2021-22/HQ/W/67

5. HANDENI ~KIBAYA ~ SINGIDA (460KM)
Tender Number: AE/001/2021-22/HQ/W/65

6.IGAWA ~SONGWE ~TUNDUMA (218KM)
Tender Number: AE/001/2021-22/HQ/W/66

7. KIDATU ~IFAKARA ~LUMECHA SONGEA (512KM)
Tender Number: AE/001/2021-22/HQ/W/63

8. ARUSHA~KIBAYA ~ KONGWA (453KM)
Tender Number: AE/001/2021-22/HQ/W/64
 
Siniliwaambia toka jana anaweka picha za akothee akipiga picha na gari za watu huko ulaya anakuja wadanganya nyinyi bado wanaakili ya kujisifia ujinga 🤣🤣🤣🤣 kaenda kubadilisha id sasa utaona id nyingine imekuja na moto
Huyo mwamba anaharibu maana ya hii battle kama itakua ni kuweka tu taarifa hata za uongo Ili kujiridhisha then hii battle ni ya kitoto na haina maana.. mchizi akatafute watoto wapumbavu wenzake akajadili nao
 
Back
Top Bottom