Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm mwenyewe kuhusu profesa J nilijiuliza sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizo takwimu ni za uongo, majority ya wasanii wa ki Africa gari tu huwa wanaazima ili waonekane wako vizuri, huyo mond mwenyewe kwa ss ndiyo anamiliki mikebe ya maana na tunakubali kutokana na mziki wake kukubalika Africa.

Nakubaliana na wewe hizo pesa si za kweli. Ni wanamuziki wachache sana Africa wenye mkwanja, kwa hapa EA ni Diamond pekee wengine wote ni waigizaji tu.
In East Africa ni Akothee, Diamond still have a long way to go.
 
Mm mwenyewe kuhusu profesa J nilijiuliza sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hizo takwimu ni za uongo, majority ya wasanii wa ki Africa gari tu huwa wanaazima ili waonekane wako vizuri, huyo mond mwenyewe kwa ss ndiyo anamiliki mikebe ya maana na tunakubali kutokana na mziki wake kukubalika Africa.

Nakubaliana na wewe hizo pesa si za kweli. Ni wanamuziki wachache sana Africa wenye mkwanja, kwa hapa EA ni Diamond pekee wengine wote ni waigizaji tu.
Lakini Prof Jay hakuomba michango, watu ndio walianza kuchanga wenyewe kwa hiari familia ikasema haiwezi kuzuia baadae Serikali ndio ikaamua kuchukua jukumu la matibabu yake, hakuna mahala familia ilisema inaomba msaada wa matibabu.
 
Kuhusu Prof.J, huyo ndio kichekesho kabisa, juzi hapa mke na ndugu zake walijitokeza kwenye vyombo vya habari kuomba mchango Ili kulipia gharama za matibabu, vipi mtu mwenye mamilioni ya dollar aombe msaada wa matibabu?.
Hii ya Prof J hata mimi imenishangaza. Mtu juzi aliumwa ndugu wakawa wanaomba msaada halafu ana $6m ? Huu utajiri wa wasanii wetu tuuache tu,sanaa nyingi.
 
Hii ya Prof J hata mimi imenishangaza. Mtu juzi aliumwa ndugu wakawa wanaomba msaada halafu ana $6m ? Huu utajiri wa wasanii wetu tuuache tu,sanaa nyingi.
Hizo ni details za kubuni kaka 🤣🤣 wanaandika wanachokifkiria.. ndio zao hao jamaa wa kikunya
 
Bado umeshindwa kuleta utajiri wa Diamond 😂😂🤣. Kwanza nyumba yenye Akothee anaishi in their village is more expensive than Nyumba ya Diamond 😂😂🤣
Nimecheka hadi basi, 🤣🤣🤣 thamani ya nyumba ya akothee ni bei ya Cadillac Escalade ESV moja anayomiliki Diamond
 
Nimecheka hadi basi, 🤣🤣🤣 thamani ya nyumba ya akothee ni bei ya Cadillac Escalade ESV moja anayomiliki Diamond
Cadillac Escalade is a $90,000 car, compare it to this 😂😂
Screenshot_20230316-153309_1.jpg
 
Akothee's house so far 👇 Jua kali type kama kawaida yenu hapo chini ameweka moram 🤣🤣
Exclusive-Photos-of-Akothees-Multi-million-House-in-Rongo-Migori-10.jpg
image-124.png
... Gari zenye ana miliki hakuna gari ya maana hata moja .. Teargas. In the other hand Diamond Platnumz houses. In Pretoria SA 👇
nyumba.jpg
EHs-84eX4AAmA_J.jpg
👇. Mind you hii ni miaka sita iliyopita.. Mbezi Dar es salaam 👇. Ukiendelea kuweka na mimi naendelea, nakuruhusu uchukue mali za A list artists wote kenya combine Halaf njoo kwenye hii battle
 
Akothee's house so far 👇 Jua kali type kama kawaida yenu hapo chini ameweka moram 🤣🤣View attachment 2553723View attachment 2553724... Gari zenye ana miliki hakuna gari ya maana hata moja .. Teargas. In the other hand Diamond Platnumz houses. In Pretoria SA 👇View attachment 2553730View attachment 2553731👇. Mind you hii ni miaka sita iliyopita.. Mbezi Dar es salaam 👇. Ukiendelea kuweka na mimi naendelea, nakuruhusu uchukue mali za A list artists wote kenya combine Halaf njoo kwenye hii battle

Unatumia hasira kujibu vitu simple simple 😂🤣😂. Nyumba ya Akothee ni $800,000, ya Diamond sidhani hata kama imefika $700,000🤣😂😂.

Akothee village house.

1678970965070.png

1678971010435.png

1678971040238.png

1678971093755.png

1678971125578.png

1678971159715.png
 
Back
Top Bottom