Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtaendelea kudanganywa na wanasiasa mpaka mbakie mifupa tupu. Mngekuwa na forex reserves hizo mngekuwa na shida ya forex kuagiza mafuta au mngefanya rationing ya dollar?
A normal Kenyan is still richer than a Danganyikan
 
Wacha dharau mzee learn the digital music industry kwanza! Diamond worths more than that amount!
Hahahaha, mkuu sina dharau ila nina ' scientific syndrome". Sisi wanasayansi huwa hatupendi Sana kuzungumza vitu vya hisia, hivi ndivyo nilivyotumia kufikia hiyo $7M.

Ukipitia katika links mbalimbali katika mitandao, utajiri wake ni tofauti tofauti Sana, lakini unatajwa kati ya $5M to $1OM, ukitafuta wastani, utakuta ni $7.5M.

Lakini Kama ni mfuatiliaji Sana wa haya mambo, utagundua kwamba hata hiyo pesa pia sio rahisi kuifikia, kwa sababu Diamond aliingia Mwaka 2020 akiwa na Utajiri kati ya $4 to $5M, baada ya hapo wote tunajua jinsi ambavyo COVID-19 ilivyovuruga biashara zote duniani, yeye mwenyewe Diamond alijitokeza na kusema ni jinsi gani alikua akipambana Ili kulipa mishahara ya wafanyakazi wake katika kipindi Cha miaka hiyo ya COVID-19.

Sio rahisi kwamba ndani ya mwaka mmoja baada ya COVID-19, aweze kuwa ameongeza utajiri wake by 100%.
Naomba kuwakilisha mkuu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Our iron lady madam boss unbwogable giving clueless tanzanians sleepless nights....Akothee has grit even though not the best of singers
Actually Akothee is more into business than music. Ni lini mwisho uliona ametoa ngoma? Alafu Hawa wajinga wanajaribu kumlinganisha na watu wenye wasipoimba watalala njaa😂😂😂
 
FrQ7BwSXgAMgbGD
Mushadanganywa tayari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Akothee is a smart woman, music kidogo na business zaidi. Wengine bado wanangoja views na subscriptions 😂🤣😂


This is Akothee Safaris, one of the leading tour company in East Africa.
View attachment 2553545
View attachment 2553546
🤣🤣🤣🤣🤣 one of the leading wapi hata kwenye world travel award sijawah kuiona hata kujulikana kwanza ndio nasikia leo
 
Akothee is a smart woman, music kidogo na business zaidi. Wengine bado wanangoja views na subscriptions 😂🤣😂


This is Akothee Safaris, one of the leading tour company in East Africa.
View attachment 2553545
View attachment 2553546
Anamiliki gari ngapi mbili au??🤣🤣🤣🤣 hio kenya yenyewe hajukani itakuwa east africa 👇👇👇👇👇👇👇
Screenshots_2023-03-16-12-37-12.png
 
Kuna wajinga wanadhani pesa hupatikana kwa views pekee😂😂😂.

Wakati Akothee is earning more from business, wengine wangajo kutoa ngoma ndio wapate pesa😂😂

View attachment 2553536
Ziko wapi tunaomba tuzione 🤣🤣🤣🤣 ndio yake yale gari 5 kashakua leading company in east africa hehehe nyinyi sifa ndizo zinawafanya munakufa na njaa ovyo
 
🤣🤣🤣🤣🤣 one of the leading wapi hata kwenye world travel award sijawah kuiona hata kujulikana kwanza ndio nasikia leo
Naongelea East Africa wewe unaongelea world. Akili yako inakusaidia kweli?😂😂😂
 
Back
Top Bottom