Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cadillac Escalade is a $90,000 car, compare it to this 😂😂
View attachment 2553732
Kuhusu magari Nasibu ndio usiguse mdogo etu .. Nasibu uani kwake ana chuma saba za maana ..
1. Cadillac Escalade 2
2. V8 1
3. BMW 1
4. Prado TX 2
5. Rolls Royce cullinan black bedge 2021 1. Hizi hapa 👇hizi hapa 👇
.
 
Unatumia hasira kujibu vitu simple simple 😂🤣😂. Nyumba ya Akothee ni $800,000, ya Diamond sidhani hata kama imefika $700,000🤣😂😂.

Akothee village house.

View attachment 2553755
View attachment 2553756
View attachment 2553762
View attachment 2553767
View attachment 2553768
View attachment 2553771
🤣🤣🤣 Ndio mana nilisema nyinyi ni washamba hii nyumba kwanza inakaa Juakali type .. thamani ya nyumba anayoishi Diamond ni T sh 2.3 billion .. convert ije kwenye dollar.. mind you Diamond ana nyumba zaidi ya 70 hapa DAR tu.. ninazo nyumba kadhaa ukitaka nitapost . Hapo tulikua tunazungumzia tu nyumba ya mbezi 🤣🤣
 
Kuhusu magari Nasibu ndio usiguse mdogo etu .. Nasibu uani kwake ana chuma saba za maana ..
1. Cadillac Escalade 2
2. V8 1
3. BMW 1
4. Prado TX 2
5. Rolls Royce cullinan black bedge 2021 1. Hizi hapa 👇hizi hapa 👇
.

Akothee Ako na vitu expensive. Diamond Ako na cheap vehicles 😂😂🤣.

Ebu check price ya hii gari alafu uniambie itanunua Cadillac Escalade ngapi?🤣🤣🤣

1678971864062.png
 
Attachments

  • 1678971766678.png
    1678971766678.png
    197.9 KB · Views: 20
🤣🤣🤣 Ndio mana nilisema nyinyi ni washamba hii nyumba kwanza inakaa Juakali type .. thamani ya nyumba anayoishi Diamond ni T sh 2.3 billion .. convert ije kwenye dollar.. mind you Diamond ana nyumba zaidi ya 70 hapa DAR tu.. ninazo nyumba kadhaa ukitaka nitapost . Hapo tulikua tunazungumzia tu nyumba ya mbezi 🤣🤣
$700,000 still behind Akothee's😂😂🤣
 
Back
Top Bottom