Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuhusu magari Nasibu ndio usiguse mdogo etu .. Nasibu uani kwake ana chuma saba za maana ..
1. Cadillac Escalade 2
2. V8 1
3. BMW 1
4. Prado TX 2
5. Rolls Royce cullinan black bedge 2021 1. Hizi hapa 👇hizi hapa 👇
.

Huyo harmonize mwenyewe hamuwezi 🤣🤣
20230315_195524.jpg
20230315_195528.jpg
 
[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]mbingu na ardhi instagram
View attachment 2553820View attachment 2553821View attachment 2553822View attachment 2553823View attachment 2553824View attachment 2553825View attachment 2553826
View attachment 2553835








[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2553832
Huyo Akothee anaongoza ku follow watu, kuna msanii toka bongo hajamfollow hata mtu mmoja lkn hashikiki kwenye followers [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nowadays Wakenya wana struggle ktk kila kitu wanapojilinganisha na Tz, hakuna sehemu wanatuweza mana hakuna kitu kipo Kenya kikakosa kuwepo Tz ila kuna vitu kibao vipo Tz huwezi pata East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
you are using too much fossils to make electricity while Tanzania mostly use locally available natural gas, lakini sababu akili hamna hamuwezi elewa

99% of our electricity is renewable. Hydro, geothermal, wind etc.
Rudisha ujuaji huko.

Mafuta ni ya kutumika na magari.
Tanzania maskini hamna magari.

Unless utuambie pia magari mnaweka hio natural gas.
 
Dont reason like someone who has not seen the windows of a school. We use our own gas for energy production and industrial use. Infact more than 60% of our electricity comes from gas.

Our electricity is over 90% renewable. Go back to school maybe you'll get a little more educated.
We (like most African countries) import fuel primarily for vehicles.

Do you use that natural gas for vehicles too?

The simple fact is Kenya has over 2 million vehicles on the road, Tanzania about 1 million.
LDC.
 
Akothee's house so far 👇 Jua kali type kama kawaida yenu hapo chini ameweka moram 🤣🤣View attachment 2553723View attachment 2553724... Gari zenye ana miliki hakuna gari ya maana hata moja .. Teargas. In the other hand Diamond Platnumz houses. In Pretoria SA 👇View attachment 2553730View attachment 2553731👇. Mind you hii ni miaka sita iliyopita.. Mbezi Dar es salaam 👇. Ukiendelea kuweka na mimi naendelea, nakuruhusu uchukue mali za A list artists wote kenya combine Halaf njoo kwenye hii battle

Hiyo ya Pretoria ni safi maanake Wasuzi kwa architecture wanajielewa, lakini hiyo ya Dra ni upuzi mtupu. Yani architecture mbovu itafanya utapike
 
Back
Top Bottom