tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Sasa tukienda one on one utagundua sio kweli,usijifiche kwenye averageA normal Kenyan is still richer than a Danganyikan
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Sasa tukienda one on one utagundua sio kweli,usijifiche kwenye averageA normal Kenyan is still richer than a Danganyikan
Wasafi BetNimecheka sana leo diamomd anamiliki
Wasafi media
Wasafi radio
Wasafi studio
Wasafi wcb classic
Hzo tu zinakutosha bado sijaingia kwenye mambo mengine 🤣🤣🤣🤣
worldbank na IMF wanasemaje? .... siwezi amini maneno ya samia mimiSasa tukienda one on one utagundua sio kweli,usijifiche kwenye average
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Diamond anayo hela ya kuvimbiana na uyo demu,Siku Diamond atafika level ya Akothee kuja tuongee[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Samia aliwataja nyie?tuna majirani 8 sisiworldbank na IMF wanasemaje? .... siwezi amini maneno ya samia mimi
Hakuna sehem utatoka 🤣🤣🤣👇👇Naongelea East Africa wewe unaongelea world. Akili yako inakusaidia kweli?😂😂😂
Siku hizi hakuna mkenya anayezungumza kuhusu KDF, wote wameshajua kwamba hawana jeshi ni kundi la walevi "in uniforms".[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmegundua kwamba hakuna sehemu mnaizidi Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekwambia wengine wao shule wameenda ni hii JF. [emoji1787]
Nna miaka mitano sina app ya FB kwenye simu yangu.Huku Bongo FB ni mtandao wa washamba hakuna msomi wala mjanja yeyote Bongo anaependelea kutumia FB, ukitaka battle na sisi kuhusu social media, tuchek Instagram+ YouTube.
Mm mwenyewe kuhusu profesa J nilijiuliza sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu, japo hii list inamuweka Diamond na kiasi hicho Cha pesa, huo sio ukweli, hizi ni habari za kuhisi tu.
Mwanamziki tajiri kuzidi wote hapa EA ni Diamond, lakini hafikii hiyo pesa hapo, Kama amezidi Sana atakuwa anakaribi $7M, lakini hata hiyo Nina wasiwasi naye.
Bobi Wine hawezi kufika hata $3M, kwa mziki upi?, Labda Kama amepata kwenye siasa, zaidi ya miaka 6 hivi Sasa hafanyi muziki Yuko Bungeni.
Kuhusu Prof.J, huyo ndio kichekesho kabisa, juzi hapa mke na ndugu zake walijitokeza kwenye vyombo vya habari kuomba mchango Ili kulipia gharama za matibabu, vipi mtu mwenye mamilioni ya dollar aombe msaada wa matibabu?.
Kenya hakuna mwanamziki hata mmoja ambaye alishawahi kuvuka $1M mark, kwa muziki upi, kwa shows zipi, kwa mauzo yapi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Last time I checked Kenya inatafuta dollar Tz.
Mtu anamiliki vyumba vya $50M wewe unatuonyesha studio ya $20,000😂😂🤣Nimecheka sana leo diamomd anamiliki
Wasafi media
Wasafi radio
Wasafi studio
Wasafi wcb classic
Hzo tu zinakutosha bado sijaingia kwenye mambo mengine 🤣🤣🤣🤣
Do you the kind of cars Akothee have?Diamond anayo hela ya kuvimbiana na uyo demu,
How much is Rolls Royce Cullinun?Iyo Toy moja inanunua land cruiser za AKothee 5 na chenji inabaki...
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app