Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuusan hata wewe mwenyewe unajua majority ya shule mlizoweka humu ni ushuzi. Kuna shule chache mmeweka hapa ni quality kama nimeona rhino... na zingine
Kanamwiga zwazwa, baada ya kupokea kichapo kwenye shule wakakaa kikao zwazwa akaja na hiyo hoja ya kujiliwaza, mambo kwa ground kila mtu kaona hakuna mbambamba.
 
Kuna hii hapa ya 2023, achana na hiyo mliyotengeneza chumbani kwenu, ninekuwekea link kabisa hamtuwezi kwa chochote [emoji116][emoji116]
Screenshot_20230316-093345.jpg
 
Mwisho wa siku kila mtu anajua Akothee ni richer than Diamond [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Akothee ndiyo nani, unamjua wewe na Wakenya wenzio, sisi Watz hatumjui na sijawahi kusikia mziki wake, ofcz mziki wa Kenya siujui na huwa sina time na mziki wenu, watz hatujui wasanii wa Kenya hata mkilia. Labda wacongo wana cha kuongea mbele yetu sio nyie, hatuwajui trust me, hakuna kijana wa kitanzania anasikiliza muziki wa Kenya, ni wakizee.
 
Nonsense. Cloud Tv with only 16k Twitter followers and 250k FB followers ndio unatupigia nayo kelele hapa?[emoji23][emoji23][emoji1787].

Choose one TV station tulinganishe na Citizen.
We kweli mwehu, watu wanaongelea you tube we unaongelea FB kweli?
 
Kuna hii hapa ya 2023, achana na hiyo mliyotengeneza chumbani kwenu, ninekuwekea link kabisa hamtuwezi kwa chochote [emoji116][emoji116]
View attachment 2553378
Hizi zenyewe zote ni data za uongo tu hizo hela hao wasanii engine wanatajwa kua nazo ni uongo kwasababu kimziki hawamfkii hata robo Diamond, vyanzo vya mapato vya Nasibu vinajulikana, je hao wazembe wengine vyanzo vyao vya mapato ni vipi.? Hata watajwe kumiliki hizo hela.?
 
Akothee ndiyo nani? Simjui, alafu Wakenya kuna vitu mbn mnaleta uchale? Mfano mambo ya shule ni uchale mtupu mnaleta hapa, we mnuka mavi nawe unaanza kunitajia mtu ambaye hata simjui unamlinganisha na mwanamuziki mkubwa Africa, huo ni uchale Chaplin mnaleta.
Sasa hasira za nini? Akothee ni tajiri kuliko wasani wote wa Tanzania. Nyinyi wajinga mnadhani utajiri unaangaliwa Kwa kutumia views na YouTube subscriptions? 😂😂😂🤣 Wealth is measured by the assets someone owns. No Tanzanian can come close to Akothee, tofauti na TV station na Radio station, ni asset gani tena Diamond Ako nayo?😂😂🤣
 
Kuna hii hapa ya 2023, achana na hiyo mliyotengeneza chumbani kwenu, ninekuwekea link kabisa hamtuwezi kwa chochote [emoji116][emoji116]
View attachment 2553378
Ya 2023 ilitolewa lini?😂😂🤣 Kama ya 2022 ndio bado hijatoka, hiyo ya 2023 umepika kwa jikoni ya Magufuli?🤣🤣
 
Sasa hasira za nini? Akothee ni tajiri kuliko wasani wote wa Tanzania. Nyinyi wajinga mnadhani utajiri unaangaliwa Kwa kutumia views na YouTube subscriptions? 😂😂😂🤣 Wealth is measured by the assets someone owns. No Tanzanian can come close to Akothee, tofauti na TV station na Radio station, ni asset gani tena Diamond Ako nayo?😂😂🤣
Yani we we unaandika huku ukweli unaujua,huyo kokote hata juma lokole kamzidi maisha.
 
Akothee ndiyo nani, unamjua wewe na Wakenya wenzio, sisi Watz hatumjui na sijawahi kusikia mziki wake, ofcz mziki wa Kenya siujui na huwa sina time na mziki wenu, watz hatujui wasanii wa Kenya hata mkilia. Labda wacongo wana cha kuongea mbele yetu sio nyie, hatuwajui trust me, hakuna kijana wa kitanzania anasikiliza muziki wa Kenya, ni wakizee.
Sio lazima ujulikane ndio ikuwe tajiri. Ama hivo ndio mlifunza our dear watchman?
 
Is FB not a social media? Ama Social media ni YouTube pekee?😂😂🤣.

Nimekuambia mkipata TV station Tanzania with a more cumulative social media subscribers than Citizen mniambie.
Nimekwambia wengine wao shule wameenda ni hii JF. 🤣
 
Back
Top Bottom