Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hold on.. heb taja assets za Akothee na mimi nikutajie za Platnumz. Hii itabidi uchukue A list artists wote wa kenya kumsaidia Akothee battle na DiamondSasa hasira za nini? Akothee ni tajiri kuliko wasani wote wa Tanzania. Nyinyi wajinga mnadhani utajiri unaangaliwa Kwa kutumia views na YouTube subscriptions? 😂😂😂🤣 Wealth is measured by the assets someone owns. No Tanzanian can come close to Akothee, tofauti na TV station na Radio station, ni asset gani tena Diamond Ako nayo?😂😂🤣