NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,044
- 19,239
Kuna shule moja pekee ya maana mmepost humu, zingine zote upuzi. Angalia shule zetu architecture ilivyo nzuri.imeuma hiyo 😂😂😂 zote mlizopost ninyi ni substandard na hatusemi, huwezi kulinganisha hata siku 1 shule za Tanzania na zenu kwa standards, tumewaacha mbali sana
Aga Khan Academy - Mombasa
Sasa ukilinganishe hii na huo utopolo unapost kabisa unaona ligi? 🤣 🤣 🤣