President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Na bado mmebaki na huo utumwa. So sijui mbona mkiskia tunazungumza kingereza mnaskia vibaya.Wakati huo Tanzania ilikuwa kwenye utumwa. Bara la Afrika limepitia utumwa pia, hata Kenya ilitawaliwa. Kwani history hamjasoma![]()
ipumzishe hii shule
Shule zenu are not attractive.ipumzishe hii shule
Msumari umeshakuchma penyewe. Tulia dawa iingie vizuristop wasting time posting those ugly schools........numbers dont lie
Hii ndio shule nzima au staff offices?Shule zenu are not attractive.
Kapsabet Boys
View attachment 2550374
View attachment 2550377
View attachment 2550380
Nyinyi ndio watumwa kwa sababu baada ya lahaja yetu kusanifishwa na nyinyi ikawapasa muanze kutumia lahaja yetuNa bado mmebaki na huo utumwa. So sijui mbona mkiskia tunazungumza kingereza mnaskia vibaya.




huna akili wewe, Tanzania shule moja unakuta ina wanafunzi hata 2k unalinganisha na hivyo vishule vyenu vya wanafunzi 50?😂😂😂😂As of 2021, Tanzania had just over 5,280 public and private secondary schools. The number of secondary institutions has been slightly increasing in the country. In 2019, there were over two million students enrolled in secondary education in Tanzania.7 days ago..
LOL.....HATA HAMTUFIKII NUSU......Salalaaa
Imeanza kulia mapema.Hii ndio shule nzima au staff offices?
Cha ugokoHicho kiingereza ulichoandika ndio hicho mnachotuchekea watanzania



Chapati ni lugha yenu?😂😂Nyinyi ndio watumwa kwa sababu baada ya lahaja yetu kusanifishwa na nyinyi ikawapasa muanze kutumia lahaja yetu
Sisi tunatumia lahaja yetu ileile. Mzungu alichokifanya ni kusanifisha Kiswahili chetu tu, ikasaidia kuua lahaja zenu![]()
mara ya 5 inawork overtime 😂😂😂
Mbona kwenye sgr Nairobi Mombasa watu wa mabasi hawajalalamika na ku file lawsuits. Hiyo uliyoongea hapo ni rubbish kabisa.the reason why BRT is finding a difficult time taking off in Nairobi is because, unlike in Tz, Kenyan public transportation is run by private operators who make billions per day. It is also very well established and extensively to a point where there’s huge competition. Whenever the govt tries to come in, you see demos like no other by the associations. They launch lawsuits and courts hold up their cases or stalls the projectals..Plus Kenyans are capitalists. They will not just sit there watch you take down their grind, wheter youre the governmet/president or whatever
Hii shule bana iko adi na airstripSt. Andrews Turi, Nadhani hii ndio shule iliyo na ukubwa wa enoe mwingi zaidi na majengo mengi zaidi hii region. Yani shule ina hadi airstrip.
View attachment 2548479![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()