Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ya K vant hujaona?
Yaani sijui kwa nini Za Mo wale wakulungwa hawazichukui, zipo kila Kona mtaani, Kuna Jamaa wa World Bank alikua ananiuliza nini cha kufanya maana aliona interview ya Mo CNN anavyosema anavyolinda mazingira na recycling lakini chupa za Mo extra zimezagaa kwenye mitaro na mtaani, Huwezi kuta Chupa zingine zimezagaa kama zake.
 
Wanasema zile hazinunuliwi kwa sababu ya ile rangi.
 
Maskini ya Mungu ile sehemu ambayo Nicxie anajidai nayo kwa kuweka picha humu inavunjwa yotee, sasa sijui atapost nn kujiliwaza View attachment 2547509
Jiji lenu ni uswazi mwanzo mwisho. Kuna tofauti gani kati ya hapo Msimbazi na Gongo la mboto, Vingunguti, Gongo la mboto, Keko, Tabata, Mazense, Tandale, Buguruni na maeneo mengine ambazo zote ni uswazi?
 
Yaani sijui kwa nini Za Mo wale wakulungwa hawazichukui, zipo kila Kona mtaani, Kuna Jamaa wa World Bank alikua ananiuliza nini cha kufanya maana aliona interview ya Mo CNN anavyosema anavyolinda mazingira na recycling lakini chupa za Mo extra zimezagaa kwenye mitaro na mtaani, Huwezi kuta Chupa zingine zimezagaa kama zake.
Serikali inapaswa kukaa na makampuni na kuanzisha Plastic bottles refund system! Kila chupa ikiwa na refund ya say Tshs 50 nakuhakikishia hutaona chupa mtaani! Huwezi ona chupa za Coca-Cola au Pepsico au TBL au Serengeti Brew mtaani kwavile kuna utaratibu wa reusage! Utaratibu wa reusage via plastic recycling utasaidia pia!
 
Wakat tunatarajia VP wa USA kuja bongo.
Mama ana ubavu wa kukataa hizi mambo?
 
Hakuna sehemu Kenya kuna Gated community ya kisasa kama hii, yn kitu kimejengwa ua linaonekana, Dom kama Dom View attachment 2547511
Tuliza kende wewe bongolala
images - 2023-03-12T205112.623.jpeg
images - 2023-03-12T205202.985.jpeg
images - 2023-03-12T205306.751.jpeg
images - 2023-03-12T205324.295.jpeg
images - 2023-03-12T205955.878.jpeg
images - 2023-03-12T211111.592.jpeg
 
Jamaa tukiwaambia kwamba Tz watu wanasafari kinoma hawataki kuamini.. imagine licha ya kampuni nyingi za Mabasi zilizopo Tanga zinazofanya safari zake Tanga-Dar pekee lakini leo wakati nipo kwenye Kampuni ya Mabasi ratco tayari kwa ku book ticket yangu kurejea mjini,muuni nikakutana na hii ratiba ya safari za TA-DSM dailyView attachment 2547546hii ni ratiba ya ratco pekee..
Safari za mabasi? 😂😂😂😂
ungetuonyesha za ndege you could have made a lot of sense!
 
Hiyo ndio inaitwanga Kumi mtungi. Hawezi rudi hapa tena. 🤣 🤣
Huyo bongolala hajui kwamba Nairobi and Kenya in general ndio baba lao ukanda huu when it comes to gated communities. Amekosa gated community ya maana kupost Dar akaona moja Dodoma akadhani amefika! 😂😂
 
Back
Top Bottom