Tofauti ya uswazi na slums ni kwamba uswazi ni nyumba ambazo hazina mpangilio, slums ni nyumba ambazo hazina mpangilio na ni hatari kuishi binadamu wa kawaida. Uswazini kuna nyumba zina kila kitu na mpk nyumba za kishua unazikuta, lkn slums ni nyumba za mabati, makuti na tope zilizozungukwa na kinyesi cha binadamu, kuku, mbwa, ng'ombe na kila kitu.
Kenya nzima imezungukwa na ma slums ya kila aina na ndiyo maana hata life span ya mkenya ni ndogo kulinganisha na mtanzania, inasadikika kwa ss pale Nairobi kuna over 3 milion slum dwellers na nna uhakika more than 100% hata wewe ni slum dweller.
Angalia hapa ni data ya 2019, Nairobi pekee kuna slum dwellers over 2m.
View attachment 2547939