NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,393
- 17,974
Loreto High School - Limuru
plant au magumashi mbona munaagiza gari japan kama muna plant 🤣 na hio plant ya isuzu kazi yake ni kugeuza gari za mizigo kua za abiria tu eti toyota wakat kila leo munaagiza probox kutoka japanKwa hiyo number nashangaa mbona Japanese manufacturers hawaweki plants hapo Bongo. Kenya tuna Isuzu Toyota na Nissan na bado wanasema wako mbele yetu.🤣🤣
Kabianga High School - A public school
![]()
Ni wapi "data" ya huyo kilaza mwenzako imetaja make Ama origin ya gari? 😂😂😂america wanatumia gari zao wenyewe na za europe pia kwa gari za japan ni chache america so unategemea nn hvi nyinyi shule hua munaenda kusoma kitu gani hata kufiria hilo pia huwezi 🤣🤣🤣🤣
Ww ni chizi hzo nigari zinazoagizwa kutoka japan 🤣🤣🤣🤣Ni wapi "data" ya huyo kilaza mwenzako imetaja make Ama origin ya gari? 😂😂😂
Kwamba wewe pia unaamini Tanzania kuna magari kuzidi USA na Japan, nchi ambazo zinatengeneza magari? 😂😂😂
Ni wapi "data" ya huyo kilaza mwenzako imetaja make Ama origin ya gari? 😂😂😂
Kwamba wewe pia unaamini Tanzania kuna magari kuzidi USA na Japan, nchi ambazo zinatengeneza magari? 😂😂😂
It is a public school bongolala. It was founded by the missionaries but was later acquired by the government 100%, just like many Catholic schools in Kenya.Shule zote za mkoloni
View attachment 2547999
There is no school built by the Kenyan government. Show us any school built after independence.It is a public school bongolala. It was founded by the missionaries but was later acquired by the government 100%, just like many Catholic schools in Kenya.
Even my own former Primary school was founded by the Missionaries but it's 100% owned by the government
Muelewe alichozungumza kua shule nyingi mumerithi kutoka kwa wakoloni yani nyinyi hamuna uwezo wa kujenga shule kama hzo za public ikiwa chakula hamuna vipi kuhusu shule 🤣🤣🤣🤣🤣It is a public school bongolala. It was founded by the missionaries but was later acquired by the government 100%, just like many Catholic schools in Kenya.
Even my own former Primary school was founded by the Missionaries but it's 100% owned by the government
Nenda kalilie githeri ukishiba nitafute 🤣🤣They should have provided a link to their findings
I said they were FOUNDED by the missionaries, not built by them. Get the difference kijana wa Tandale.There is no school built by the Kenyan government. Show us any school built after independence.
The primary school school I am referring to in this case was founded in 1987. Was Kenya still a colony in 1987?Muelewe alichozungumza kua shule nyingi mumerithi kutoka kwa wakoloni yani nyinyi hamuna uwezo wa kujenga shule kama hzo za public ikiwa chakula hamuna vipi kuhusu shule 🤣🤣🤣🤣🤣