The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kenya inaongoza kwa uchawi East and Central Africa.
🤣🤣🤣🤣🤣











Pole mwanangu 😂😂😂Mods bhn, ilikuwa ubishani wa mechi aisee nilitabiri Arsenal hatoshinda hiyo mechi na kama akishinda nipigwe ban ya wiki nzima, basi kweli bhn mpk dk ya 80 hvii ngoma Arsenal keshapigwa, heee dk ya 90 si akachomoa, wkt dk zikiwa zimeshaisha si wakaongeza cha pili bhn, basi fans wa Arsenal wakamganda Active anilime ban, nikapigwa kweli bhnView attachment 2547269
Kipindi hiki cha njaa cases za urogi Kundustan zime-skyrocket!Kenya inaongoza kwa uchawi East and Central Africa.View attachment 2547501
CC:Kenya nzima ni slums everywhere, yn kushoto kulia.View attachment 2547506
Ulicheza kamari!
Ubishani tuu wa mpira, sijawahi kupigwa ban ndio mara ya kwanza, nilidhani masihara kumbe mods hawana mchezo aiseeUlicheza kamari!








