Mods bhn, ilikuwa ubishani wa mechi aisee nilitabiri Arsenal hatoshinda hiyo mechi na kama akishinda nipigwe ban ya wiki nzima, basi kweli bhn mpk dk ya 80 hvii ngoma Arsenal keshapigwa, heee dk ya 90 si akachomoa, wkt dk zikiwa zimeshaisha si wakaongeza cha pili bhn, basi fans wa Arsenal wakamganda Active anilime ban, nikapigwa kweli bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2547269
Nipo sana bro, na vile battle tushashinda yn kuna vipengele natamani virudishwe nyuma niue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Welcome back brother.
Nilishangaa why.
Nimerudi mkuu [emoji120]Karibu kwenye Uzi