Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,691
- 107,133
Upumbavu mtupu.Nairobi as seen from the top of KICC
![]()
Ushuzi.National Bank towers and Cooporative Bank towers
![]()
Tatizo ni ccm ni mafii wanalipwa fidia kwenda kuanzisha takataka zingine sehemu nyingine ...serikali ilitakiwa kuvunja na kujenga vizuri watu wakabidhiwe funguo tu siyo kuwapa pesa ....kosa kubwa sana ...nimeshuhudia watu wanao lipwa pesa wanakenda kujenga tena ovyo ovyo maeneo mengineMaskini ya Mungu ile sehemu ambayo Nicxie anajidai nayo kwa kuweka picha humu inavunjwa yotee, sasa sijui atapost nn kujiliwaza [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2547509
SureTatizo ni ccm ni mafii wanalipwa fidia kwenda kuanzisha takataka zingine sehemu nyingine ...serikali ilitakiwa kuvunja na kujenga vizuri watu wakabidhiwe funguo tu siyo kuwapa pesa ....kosa kubwa sana ...nimeshuhudia watu wanao lipwa pesa wanakenda kujenga tena ovyo ovyo maeneo mengine
Hamuhitaji hayo mambo kwa sasa, mnahitaji unga.88 Nairobi towerView attachment 2547666
Ni kweli watuachie sisi tulioshibaHamuhitaji hayo mambo kwa sasa, mnahitaji unga.
Wanajitahidi kuficha mauchafu yao kadri wawezavyo.Hamuhitaji hayo mambo kwa sasa, mnahitaji unga.
Hapo hajataja mtu ila kelele sasaUle msumari wa moto sana kwa Wazee wa GDP, na angetaja nchi Nairobi nzima ingeandamana[emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wa miba 😂Kenya inaongoza kwa uchawi East and Central Africa.View attachment 2547501
Sema Mod nae atakuwa ni the gunners!😂.Sio Bure.😅Ubishani tuu wa mpira, sijawahi kupigwa ban ndio mara ya kwanza, nilidhani masihara kumbe mods hawana mchezo aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]