nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,127
- 1,839
mama heri awe mkweli kwa hawa wakuda, kila mara GDP kubwa huku forex hata ya mambo ya msingi hamna hahahahhahaha failed stateMama kifua hana![]()
mama heri awe mkweli kwa hawa wakuda, kila mara GDP kubwa huku forex hata ya mambo ya msingi hamna hahahahhahaha failed stateMama kifua hana![]()
Jamaa wamevuruga vurugaKweli mrusi mtu mbaya yani bakhmut ndiyo imekuwa magofu na vumbi namna hiyo
Hiyo ni CHADEMA waliposema hawaitambui serikali na hawatashirikiana nayo.Hii never never never aliyoisema ndiyo ipi?
Hajataja nyanga’u hapo, sema tu wanajishuku sababu wanajua ukweli.
Ni never never ya kutorudi kwenye hali ilivyokuwa chini ya Mwendazake.Hii never never never aliyoisema ndiyo ipi?
Ha ha ha labda uwadanganye ambao hawakuwahi kufika Mombasa. Hapo Burhani tower kwa chini wanauza maji kwa ndoo! Nilishangaa sana ngoja nirudie kurusha zile picha za Mombasa.






Mi bado nazikumbuka Boss hizo Picha.Hii ni ya kweli mkuu? Maana hawachelewi kutufedhehesha ukiweka matumanini makubwa.Nyoka mbona ana rangi za Jamuhuri.View attachment 2543313
Aisee Ile kauli ya mh. SSH imewa.uma wakenya!🤣🤣🤣🤣