Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyaland suala la Madaraja tuachieni Tanzania..

Madaraja ya Tarura huko Vijijini
IMG_20230309_163713_275.jpg
IMG_20230309_163428_696.jpg
IMG_20230309_163924_647.jpg
IMG_20230309_163634_782.jpg
IMG_20230309_163424_783.jpg
 
Duh wakati huyu anaingia madarakani mlikua mmemuhype sana sielewi kwanini? na mlijua kabisa atakua na miujiza ya kuwaondolea madeni na kuongeza mauzo ya nje?

Mna deni la trillion 9.3 kes lakini nikikuambia nioneshe mapesa yote haya yameenda wapi utanionesha lamu na SGR kumbe hamjui serikali yenu ilikua inakopa ili kulipa mishahara

mmedanganywa ninyi ni most industrialized nation in EA lakini ndio mnaongoza importation of petty goods, ndio hivyo hivyo mnavyodanganywa statistics nyingi kama GDP
Ukiona mtu ana mbwembwe ujue huyo ni zero brain zaidi ya kujitutumua hamna kitu atafanya..
 
Back
Top Bottom