Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20230309_194801.jpg
20230309_194805.jpg
20230309_194826.jpg
 
Ndio maana kulikuwa na deliberate move ya kumsifia Samia kwenye Birthday yake kumbe ilikuwa ni strategy ya kupitisha ‘bakuli’? 😅😅

I sensed that anyways, ukiona hawa jamaa wanakusifia jua wanataka kukushika matako, stuka haraka sana na kimbia😂😂
Aaaaaah,nailed it brother!
 
Duh wakati huyu anaingia madarakani mlikua mmemuhype sana sielewi kwanini? na mlijua kabisa atakua na miujiza ya kuwaondolea madeni na kuongeza mauzo ya nje?

Mna deni la trillion 9.3 kes lakini nikikuambia nioneshe mapesa yote haya yameenda wapi utanionesha lamu na SGR kumbe hamjui serikali yenu ilikua inakopa ili kulipa mishahara

mmedanganywa ninyi ni most industrialized nation in EA lakini ndio mnaongoza importation of petty goods, ndio hivyo hivyo mnavyodanganywa statistics nyingi kama GDP
 
Wanabahati mwamba kala kibano
Best007

Back
Top Bottom