Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The same WB had this to say about extreme poverty in Tanzania na ni ripoti ya 2020 kama sijakosea View attachment 2540615
Hii hapa sio mm nimesema 🤣🤣🤣🤣 ni world bank wenyewe na wao ndio wamesema zimbabwe ina nafuu 17% kuliko kenya in extreme poverty na utambue zimbabwe ndio ilikua nchi maskini duniani

Na tanzania ndio inaongoza kwa rate kubwa ya poverty reduction in africa hio naomba uweke akilini 🤣🤣🤣
20230307_145004.jpg
 
We just shut up! Unafikiri Kwa nini wenzio wamekimbia battle!?

Kenya ni masikini kuliko.....hali zenu ni mbaya! Ila najua huna bundle. Huwezi soma hizo post za nyuma!
Ni kweli Kenya ni masikini wala hakuna anayepinga hilo ila kuna masikini zaidi kutuliko
Screenshot_20220501-110859_2~2.png
 
Hii hapa sio mm nimesema 🤣🤣🤣🤣 ni world bank wenyewe na wao ndio wamesema zimbabwe ina nafuu 17% kuliko kenya in extreme poverty na utambue zimbabwe ndio ilikua nchi maskini duniani

Na tanzania ndio inaongoza kwa rate kubwa ya poverty reduction in africa hio naomba uweke akilini 🤣🤣🤣
View attachment 2540619

Unakwama na taarifa ya 2019 wakati ya 2020 inasema vinginevyo
 
Ingekuwa eti Kenya ndio imewekwa mbele kwenye hiyo taarifa, ungesikia vile watanzania wangevamia hiyo post na kauli za "data za kupikwa"

Watanzania ni watu wa ajabu sana. Yani kwao data/taarifa ni ya kweli tu pale Tanzania inapotajwa mbele ya Kenya. Ikitokea vice-versa, eti data sasa imepikwa
Haha pale penye ukweli utasemwa tu wala usihofu.
Data kupikwa imekua wimbo wa taifa sasa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mbona unacompare starvation na extremely poverty? Huko kwenu masikini wako milioni ngap?

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
You can't starve if you are rich, that's not logical. All those starving people are counted as people living in extreme poverty because they can't afford the most basic need which is food.

About numbers, that's a subjective matter. There's no report that'll give you the exact figure. It's estimations, but of course done scientifically. The last WB report estimated that 20 million Kenyans live in extreme poverty. I hope that answered your question
 
Ww kweli unahitaj maombi ukiskia starvation maana yake ni zaidi ya extreme poverty wapo watu wako kwenye extreme poverty na wanakula walau milo miwili wengine mpaka mitatu kabisa lakini wako kwenye extreme poverty

Sasa wale 6m ambao hawana chakula kabisa maana yake wanaelekea kwenye kifo yani mtu yuko katikati mwa kifo na uhai sasa hao unaeza sema ni extreme poverty ww kweli unakichaa cha mbwa 🤣🤣🤣🤣🤣

Kunatofaut kati ya poor na hunger yani ni vitu viwili tofaut kabisa
 
Kesho nenda kaungane na Omosh One Hour kwenye maandamano ya Baba kuhusu hali mbaya huko kwa nyang'au.
And you believe the situation is any better in your country?? what a dumbasa you are!

The beaty with us Kenyans is that we bring the government to task when we fill something is getting out hand or there are many unanswered questions. Wewe jaribu kuandamana hapo Tandale kama utarudi kwako na kende zako zote mbili
 
Bongolala, that report was comparing lower-middle-income countries. Kwa wakati huo, bado mlikuwa mmekwama kwenye lile tope la LDC.

Secondly, 40% of Kenyans is 20 million. Nyinyi the same World Bank wanasema idadi ya watu wanaoishi in extreme poverty ni 28 million. Sasa kati ya 20 million na 28 million ni gani nyingi?

Kumuelimisha mtanganyika ni kazi kweli tena yahitaji mshahara nono

Weka report ya WB inayotaja kiwango Cha umasikini wa Kenya tuone

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Stop hiding behind njaa and look at the bigger picture. They say figures don't lie. There's no way you can convince anyone that 5 million is bigger than 28 million
Njaa ndio kipimo Cha chini kabisa Cha kupima umasikini duniani, mtu anaweza kuwa masikini kwasababu hana viatu, hana pesa ya matibabu, hana nguo lakini anapata japo mlo mmoja.

Kenya watu hata mlo mmoja hawapati kwa siku wanakufa kwa njaa, Sasa wewe umeng'ang'ana na figure za kwenye makaratasi wakati kwenye uhalisia mambo ni tofauti.

Nikuulize swali, hao masikini wa Tanzania wanapata athari gani zitokanazo na umasikini wao Kama wanapata chakula, makazi, na mavazi?, Ukija Tanzania utapimaje umasikini wao?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
You can't starve if you are rich, that's not logical. All those starving people are counted as people living in extreme poverty because they can't afford the most basic need which is food.

About numbers, that's a subjective matter. There's no report that'll give you the exact figure. It's estimations, but of course done scientifically. The last WB report estimated that 20 million Kenyans live in extreme poverty. I hope that answered your question
20M people that is 40% of you're Population...Africa Why

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
And you believe the situation is any better in your country?? what a dumbasa you are!

The beaty with us Kenyans is that we bring the government to task when we fill something is getting out hand or there are many unanswered questions. Wewe jaribu kuandamana hapo Tandale kama utarudi kwako na kende zako zote mbili
Wacha kujiliwaza, juzi tu Eric Omond alienda kugawa unga kwa wenye njaa na alikamatwa na polisi, nchi yenu ya hovyo Sana.

Kitu muhimu sio kuilalamikia serikali, njaa hapo Kenya imekuwepo tangu 1963, huko kuisema serikali yenu kunasaidia nini?, Rushwa ipo miaka yote, na inazidi kuongezeka, Sasa Kama mnadhani mnaisema serikali, matokeo yake ni Rushwa kuongezeka, Sasa Kuna faida gani?.

Hivi unataka Tanzania tupige kelele hovyo Kama ninyi hata Kama hakuna sababu ya kupiga kelele?, serikali ya Tanzania inajitahidi Sana kutatua matatizo ya wananchi, hakuna tatizo kubwa linalotokea Tanzania lisitatuliwe ndani ya muda mfupi, Sasa unataka tupige kelele Kama wendawazimu wa Kenya?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
And you believe the situation is any better in your country?? what a dumbasa you are!

The beaty with us Kenyans is that we bring the government to task when we fill something is getting out hand or there are many unanswered questions. Wewe jaribu kuandamana hapo Tandale kama utarudi kwako na kende zako zote mbili
Weee jaluo acha kunijibu na hicho kizungu chako cha kukariri🙂
 
You can't starve if you are rich, that's not logical. All those starving people are counted as people living in extreme poverty because they can't afford the most basic need which is food.

About numbers, that's a subjective matter. There's no report that'll give you the exact figure. It's estimations, but of course done scientifically. The last WB report estimated that 20 million Kenyans live in extreme poverty. I hope that answered your question
Show any video like this from any other country in EA, including Burundi

Back
Top Bottom