Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ni kweli tanzania iko mbele kwa kila kitu au ni uongo ikiwa watu wanakufa na njaa hapo kuna nn munaeza shindana ?? Nchi haina ajira na inaongoza africa kua unemplyment rate kuna nn munaeza shindana?? Nchi inaongoza kwa corruption duniani kuna nn munaeza ongoza?? Nchi ina worse slums in the world kuna nn munaeza ongoza ?? Labda muongoze zombies 🤣🤣🤣🤣
Pole kwa maumivu bongolala. Number mtasoma hadi kiama
 
You can't starve if you are rich, that's not logical. All those starving people are counted as people living in extreme poverty because they can't afford the most basic need which is food.

About numbers, that's a subjective matter. There's no report that'll give you the exact figure. It's estimations, but of course done scientifically. The last WB report estimated that 20 million Kenyans live in extreme poverty. I hope that answered your question
Kumbe unatumia fantasy kujibu hoja!

Nilishakwambia hizo data zote zipo humu! Ila najua huwezi kuscroll juu maana ya bundle! Hali mbaya huko!

Halafu isichanganwe extreme poverty na starvation! Mfano, hao 28 mil ambao wako Tanzania ushawahi kusikia wanakufa njaa!

Hao wanaokufa njaa yani wako beyond extreme poverty! Sasa tuletee data za extremely poor people! Not people who are starving!
 
And you believe the situation is any better in your country?? what a dumbasa you are!

The beaty with us Kenyans is that we bring the government to task when we fill something is getting out hand or there are many unanswered questions. Wewe jaribu kuandamana hapo Tandale kama utarudi kwako na kende zako zote mbili
Clown ! Nakupa homework!

Kawaulize hao wazungu wako, kati ya Tanzania na Kenya Nani ana demokrasia bora! Hakuna kitu mko mbele yetu nyie nyang'au!
 
You are an emotional freak. You think people from other countries hate Kenyans because of online banter? You are a clever fool.
Hahahaha, the truth of the matter is that Kenyans are hated by many Africans, can you tell me why?. You want to please yourself, the first impression of a person is important to determine the future, do you love some one who always talks shits on online forums about you?

We meet other African outside the African continent, majority of them do talk I'll about you Kenyans, stop this behaviour of confrontation, otherwise people will always hate you.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe unatumia fantasy kujibu hoja!

Nilishakwambia hizo data zote zipo humu! Ila najua huwezi kuscroll juu maana ya bundle! Hali mbaya huko!

Halafu isichanganwe extreme poverty na starvation! Mfano, hao 28 mil ambao wako Tanzania ushawahi kusikia wanakufa njaa!

Hao wanaokufa njaa yani wako beyond extreme poverty! Sasa tuletee data za extremely poor people! Not people who are starving!
Screenshot_20220501-110859_2~2.png
 
Hahahaha, the truth of the matter is that Kenyans are hated by many Africans, can you tell me why?. You want to please yourself, the first impression of a person is important to determine the future, do you love some one who always talks shits on online forums about you?

We meet other African outside the African continent, majority of them do talk I'll about you Kenyans, stop this behaviour of confrontation, otherwise people will always hate you.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Must people love us ndio tuishi?
You are freak by the way jinsi tu ulivyoambiwa hapo juu. Can you prove your claims that all African countries hate Kenya?

Wacha kuhusisha watu wengine kwenye chuki zako dhidi ya Kenya
 
Clown ! Nakupa homework!

Kawaulize hao wazungu wako, kati ya Tanzania na Kenya Nani ana demokrasia bora! Hakuna kitu mko mbele yetu nyie nyang'au!
Demokrasia ya kupiga wapinzani risasi hadi kutafuta matibabu Kenya? Hiyo ndio demokrasia? Wewe bwege tu
 
Hahahaha, the truth of the matter is that Kenyans are hated by many Africans, can you tell me why?. You want to please yourself, the first impression of a person is important to determine the future, do you love some one who always talks shits on online forums about you?

We meet other African outside the African continent, majority of them do talk I'll about you Kenyans, stop this behaviour of confrontation, otherwise people will always hate you.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hayo ni maoni yako, the last time I checked Africa has over 1 billion people and none of them asked you to speak on their behalf. Your perception is not reality.
 
Back
Top Bottom