Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ninyi mlikua mnatusema vibaya Sana katika forums mbalimbali hata kabla ya kuanzishwa kwa JF, huko YouTube, KoT, Instagram na kwengineko, yaani kukitajwa Tanzania lazima muingilie kati hata Kama ni mnigeria kaitaja Tanzania kwa kuisifia, lazima mtoe negative remarks.

Tulikua tunawafuatilia kwa mbali kwa muda mrefu Sana, tulipopata hii forum, tukaona ndio muda muafaka wa kujibu mapigo.

Tanzania tunasifika kwa upole wote, upole sio udhahifu. Kenya mnasifika kwa ujeuri na ukorofi wenu. You need to be humble, you will be loved and respected.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
We are already loved and respected, we don't need your approval.
 
Bongolala, that report was comparing lower-middle-income countries. Kwa wakati huo, bado mlikuwa mmekwama kwenye lile tope la LDC.

Secondly, 40% of Kenyans is 20 million. Nyinyi the same World Bank wanasema idadi ya watu wanaoishi in extreme poverty ni 28 million. Sasa kati ya 20 million na 28 million ni gani nyingi?

Kumuelimisha mtanganyika ni kazi kweli tena yahitaji mshahara nono
20 out of 50 VS
28 out of 61 its obvious Tz umaskini umezidi kwa 5% juu ya wenu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
The skyscrapers of Nairobi.

Image
 
Baada ya kugundua kwamba huko mnapoteza "battle" ndio mnaomba Suluhu sio?. Ninyi ndio mara zote mnaanzisha "battle" na nchi mbalimbali sio Tanzania pekee, kwasababu Tanzania tumefanikiwa kuwakaba Koo, mnaanza kuomba poo.

Sasa sikilizeni, ujinga wenu wa kupenda kujisifia, kujikweza na kujiona Bora kuzidi nchi zingine, fanyieni nchi zingine sio Tanzania, mkijaribu kutukwaza na kutugusa "Negatively in any way" tutajibu mapigo kwa nguvu zote.

Ulishasikia watanzania wakijibizana mitandaoni na nchi yoyote Ile zaidi ya Kenya?, Ila ninyi wakenya mnajibishana na Nigeria, South Africa, Uganda, Ghana na Tanzania.

Jaribuni kujenga mahusiano mazuri na nchi zingine, punguzeni ujuaji mwingi, "otherwise" tutaendelea kupambana na ninyi mwanzo mwisho, kamwe hatutowaachia nafasi ya kuendeleza tabia zenu za hovyo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mtajibizanaje na kiingereza hamjui? The only reason mnajibizana na Kenya ni juu tunakijua Kiswahili.
 
Only 5 million Kenyans are facing starvation. Does that compare with 28 million people in Tanzania who live in extreme poverty?
Is poverty and Capitalist definition of poverty the same.Maasai in capitalist world are poor people while reality are not.
 
Back
Top Bottom