Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baada ya kugundua kwamba huko mnapoteza "battle" ndio mnaomba Suluhu sio?. Ninyi ndio mara zote mnaanzisha "battle" na nchi mbalimbali sio Tanzania pekee, kwasababu Tanzania tumefanikiwa kuwakaba Koo, mnaanza kuomba poo.

Sasa sikilizeni, ujinga wenu wa kupenda kujisifia, kujikweza na kujiona Bora kuzidi nchi zingine, fanyieni nchi zingine sio Tanzania, mkijaribu kutukwaza na kutugusa "Negatively in any way" tutajibu mapigo kwa nguvu zote.

Ulishasikia watanzania wakijibizana mitandaoni na nchi yoyote Ile zaidi ya Kenya?, Ila ninyi wakenya mnajibishana na Nigeria, South Africa, Uganda, Ghana na Tanzania.

Jaribuni kujenga mahusiano mazuri na nchi zingine, punguzeni ujuaji mwingi, "otherwise" tutaendelea kupambana na ninyi mwanzo mwisho, kamwe hatutowaachia nafasi ya kuendeleza tabia zenu za hovyo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa mtajibizana na nchi gani wakati kiingereza hamukielewi?
 
Picha moja imekusanya kila kitu 🤣🤣🤣
Hapa ni nini Kilichobaki beside uswazi hovels?
moizhusein_1642362358564836.jpg
 
Imezidi nn slums au?? Umaskini au?? Njaa au?? Kitu gani ???🤣🤣🤣🤣🤣 hvi ww unahisi utanidanganya nn labda ??
Nchi masikini kuzidi zote hapa EA kila mtu anajua na taarifa tumeleta huku si haba. Wacha kujifariji bongolala
 
Umezunguka lakini yote ulitaka kumsifia tu JPM.Sio sawa kumsifia tu mtu mmoja wakati mji umeanza kujengwa karibu Karne moja iliyopita Kila kipindi kitaweka Alama yake mfano wakati wa JK ndio tulishuhudia majengo marefu zaidi mfano TPA,PSSSF twin tower,NSSF ilala,tukaona BRT mambo,akanzisha mipango ya Flyover za TAZARA na Ubungo nk...DAR Yale haitafanana na Dar ya

Magu sio Rais wa Sasa lakini.Zama za Magu zimepita na Prodessa anatimiza jukumu alilopewa.
Huko nyuma ilikuwa ni mipango tu na utekelezaji ulikuwa almost na ZERO.
 
Kwani Mkenya ndio alianzisha hii battle? Rudi page one bila kulia.
Ninyi mlikua mnatusema vibaya Sana katika forums mbalimbali hata kabla ya kuanzishwa kwa JF, huko YouTube, KoT, Instagram na kwengineko, yaani kukitajwa Tanzania lazima muingilie kati hata Kama ni mnigeria kaitaja Tanzania kwa kuisifia, lazima mtoe negative remarks.

Tulikua tunawafuatilia kwa mbali kwa muda mrefu Sana, tulipopata hii forum, tukaona ndio muda muafaka wa kujibu mapigo.

Tanzania tunasifika kwa upole wote, upole sio udhahifu. Kenya mnasifika kwa ujeuri na ukorofi wenu. You need to be humble, you will be loved and respected.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
There is a significant improvement in primary health care delivery In rural areas in Tz..
Wazee wenye Hypertension, Diabete mellitus and other non communicable diseases wanapata huduma vizuri wengi wao walikua wanakufa na complications zake kwa kukosa proper management.
20230307_140651.jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
There is a significant improvement in primary health care delivery In rural areas in Tz..
Wazee wenye Hypertension, Diabete mellitus and other non communicable diseases wanapata huduma vizuri wengi wao walikua wanakufa na complications zake kwa kukosa proper management. View attachment 2540553

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hata uganda wana afadhali kuliko hao watu wasifa wakat watu wanakufa na njaa bila huruma alaf wako hapa kuongelea GDP isiokua na faida kwao 🤣🤣🤣🤣
 
Sasa mtajibizana na nchi gani wakati kiingereza hamukielewi?
Tutajibizana na nchi yoyote Ile yenye sifa zifuatazo;.
1)Tribalism
2)Corruption
3)Slums
4)Hunger & Starvation
5) Poverty
6) Joblessness
7) Insecurity
8) Collapsing economy
9)Useless Army
10)Terrorism

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Ninyi mlikua mnatusema vibaya Sana katika forums mbalimbali hata kabla ya kuanzishwa kwa JF, huko YouTube, KoT, Instagram na kwengineko, yaani kukitajwa Tanzania lazima muingilie kati hata Kama ni mnigeria kaitaja Tanzania kwa kuisifia, lazima mtoe negative remarks.

Tulikua tunawafuatilia kwa mbali kwa muda mrefu Sana, tulipopata hii forum, tukaona ndio muda muafaka wa kujibu mapigo.

Tanzania tunasifika kwa upole wote, upole sio udhahifu. Kenya mnasifika kwa ujeuri na ukorofi wenu. You need to be humble, you will be loved and respected.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Sioni siku hizi wakisema mitandaoni kuwa Watanzania ni wavivu, what happened?
 
Hili daraja limetumia 95m tsh sawa na 5.3m ksh lakini hili daraja lingekua kenya ungeskia cost yake ni over 50m ksh 😆😆😆

20230307_135414.jpg
20230307_135411.jpg
 
Only 5 million Kenyans are facing starvation. Does that compare with 28 million people in Tanzania who live in extreme poverty?
Not 5 but its over 6m kenyans na hamuoni hata aibu hao ndio wale hawana chakula kabisa vp kuhusu wale wanaokula mlo mmoja kwa siku wako wangap zaidi ya 40m au???🤣🤣 na hio 6m still bado serekali inaficha ukweli
 
Back
Top Bottom