President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,767
- 89,792
Kingereza cha kenya sasa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa mtajibizana na nchi gani wakati kiingereza hamukielewi?
promoshoni, divishoni one. Huwa nacheka sana nikikutana na kunyans.
Kingereza cha kenya sasa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa mtajibizana na nchi gani wakati kiingereza hamukielewi?
Sio mm ni world bank 🤣🤣🤣🤣Only 5 million Kenyans are facing starvation. Does that compare with 28 million people in Tanzania who live in extreme poverty?
Ingekuwa eti Kenya ndio imewekwa mbele kwenye hiyo taarifa, ungesikia vile watanzania wangevamia hiyo post na kauli za "data za kupikwa"There is a significant improvement in primary health care delivery In rural areas in Tz..
Wazee wenye Hypertension, Diabete mellitus and other non communicable diseases wanapata huduma vizuri wengi wao walikua wanakufa na complications zake kwa kukosa proper management. View attachment 2540553
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Njaa haijui kiingerezaSioni siku hizi wakisema mitandaoni kuwa Watanzania ni wavivu, what happened?
Na ni kweli tanzania iko mbele kwa kila kitu au ni uongo ikiwa watu wanakufa na njaa hapo kuna nn munaeza shindana ?? Nchi haina ajira na inaongoza africa kua unemplyment rate kuna nn munaeza shindana?? Nchi inaongoza kwa corruption duniani kuna nn munaeza ongoza?? Nchi ina worse slums in the world kuna nn munaeza ongoza ?? Labda muongoze zombies 🤣🤣🤣🤣Ingekuwa eti Kenya ndio imewekwa mbele kwenye hiyo taarifa, ungesikia vile watanzania wangevamia hiyo post na kauli za "data za kupikwa"
Watanzania ni watu wa ajabu sana. Yani kwao data/taarifa ni ya kweli tu pale Tanzania inapotajwa mbele ya Kenya. Ikitokea vice-versa, eti data sasa imepikwa 😃😃
🤣🤣🤣🤣🤣
5 Millions starving, they are most likely are going to die soon. Sikiliza kwa making, hakuna kitu chenye kudhalilisha utu wa binadamu Kama njaa.Only 5 million Kenyans are facing starvation. Does that compare with 28 million people in Tanzania who live in extreme poverty?
Dunia inakwenda mbele wao wanarudi nyuma miaka 50 🤣🤣🤣🤣 nchi zenye jangwa tena zina vita juu lakini huskii wanakufa na njaa never5 Millions starving, they are most likely are going to die soon. Sikiliza kwa making, hakuna kitu chenye kudhalilisha utu wa binadamu Kama njaa.
Ni aibu miaka 60 baada ya uhuru bado Kuna nchi ambayo haina civil war lakini watu wake wanakufa kwa njaa.
Afrika tunapambana na umasikini, yaani kuongeza kipato Cha fedha, enzi za kutafuta chakula zilishapita muda mrefu Sana.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mtu unadanganya ofisin (mtandaon) kuwa una maisha mazur, unakula kuku kila siku home kwako..una nyumba kali..unaishi maisha mazur.. ila majiran (media) wanafotoa photo kila siku kuwa mda mwingine unashinda njaa.. unakula ugal na chumvi.. wanaonyesha nyumba yako haina hata madirisha (haijaisha)... kwann tusikuzodoe uache kudanganya? Kwann tusikuzodoe ukubali kuishi maisha yako?Ni watz wachache ambao wako busy kupost maendeleo ya nchi yetu,wengi wako busy kutafuta madhaifu ya wengine...
Turudi kwenye mstari uzi ushapoteza dira.
Hayo na maoni yangu tu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ikiwa world bank wanasema zimbabwe ndio ilikua nchi maskini duniani sasa hvi nyinyi mumewashinda zimbabwe kwa umaskini kwa 17% hii unaichukuliaje 🤣🤣🤣🤣 yani hata huitaji ramli kujua muko kwenye hali ganiNataka ninikuu hiyo taarifa yako kisha nikutoe makamasi ubongoni.
"The report revealed that over 40% of Kenyans live in extreme poverty... "
Sasa tuingie kwenye hesabu.
40% ya wakenya ni watu ngapi?
40%*50 million people =20 million people
Sasa kati ya 20 million na 28 million ni gani nyingi?
Bongolala, stop sharing information that you cannot substantiate. You'll only look stupid!
Secondly, that report was comparing lower middle-income countries. At that time, Tanzania was still an LDC country na ndio maana haikutajwa licha ya kuongoza kwa umasikini ukanda huu. Ask yourself what the numbers could have been if Tanzania was included in that report!
🤣🤣🤣🤣🤣 mm napenda sana kukupa ukweli ili uelewe nn namaanishaNataka ninikuu hiyo taarifa yako kisha nikutoe makamasi ubongoni.
"The report revealed that over 40% of Kenyans live in extreme poverty... "
Sasa tuingie kwenye hesabu.
40% ya wakenya ni watu ngapi?
40%*50 million people =20 million people
Sasa kati ya 20 million na 28 million ni gani nyingi?
Bongolala, stop sharing information that you cannot substantiate. You'll only look stupid!
Secondly, that report was comparing lower middle-income countries. At that time, Tanzania was still an LDC country na ndio maana haikutajwa licha ya kuongoza kwa umasikini ukanda huu. Ask yourself what the numbers could have been if Tanzania was included in that report!
Stop hiding behind njaa and look at the bigger picture. They say figures don't lie. There's no way you can convince anyone that 5 million is bigger than 28 millionKuna umasikini zaidi ya kushindwa kupata chakula?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
8% extreme poverty 2019 what about 2023 itakua ngap 5% au?? 🤣🤣🤣Stop hiding behind njaa and look at the bigger picture. They say figures don't lie. There's no way you can convince anyone that 5 million is bigger than 28 million
Bongolala, that report was comparing lower-middle-income countries. Kwa wakati huo, bado mlikuwa mmekwama kwenye lile tope la LDC.Ikiwa world bank wanasema zimbabwe ndio ilikua nchi maskini duniani sasa hvi nyinyi mumewashinda zimbabwe kwa umaskini kwa 17% hii unaichukuliaje 🤣🤣🤣🤣 yani hata huitaji ramli kujua muko kwenye hali gani
View attachment 2540596
Na labda nikukumbushe tanzania ndio nchi iliongoza kwa poverty reduction in africa 🤣🤣🤣Bongolala, that report was comparing lower-middle-income countries. Kwa wakati huo, bado mlikuwa mmekwama kwenye lile tope la LDC.
Secondly, 40% of Kenyans is 20 million. Nyinyi the same World Bank wanasema idadi ya watu wanaoishi in extreme poverty ni 28 million. Sasa kati ya 20 million na 28 million ni gani nyingi?
Kumuelimisha mtanganyika ni kazi kweli tena yahitaji mshahara nono
We just shut up! Unafikiri Kwa nini wenzio wamekimbia battle!?Bongolala, that report was comparing lower-middle-income countries. Kwa wakati huo, bado mlikuwa mmekwama kwenye lile tope la LDC.
Secondly, 40% of Kenyans is 20 million. Nyinyi the same World Bank wanasema idadi ya watu wanaoishi in extreme poverty ni 28 million. Sasa kati ya 20 million na 28 million ni gani nyingi?
Kumuelimisha mtanganyika ni kazi kweli tena yahitaji mshahara nono
8% extreme poverty 2019 what about 2023 itakua ngap 5% au?? 🤣🤣🤣
2021 zimbabwe ilikua na nafuu 17% in extreme poverty dhidi ya kenya na hapo hapo zimbabwe ndio ilikua nchi maskini duniani bado hajifkiriii tu kua wanaelekea jahannam 🤣🤣🤣We just shut up! Unafikiri Kwa nini wenzio wamekimbia battle!?
Kenya ni masikini kuliko.....hali zenu ni mbaya! Ila najua huna bundle. Huwezi soma hizo post za nyuma!


