IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,284
- 9,435
Na hzi pia tuseme za tanzania 🤣🤣🤣🤣 akili zenu nyinyi ni kama siafu tu
This guy nailed itMna import aje Cayenne ya 2007 model,kwani age limit ni 20 years? Tanzania surely 😂😂View attachment 2535577View attachment 2535578
Hii picha nimeiona since niingie kwa hii forum on 2017 😂 hamna myingine?Huku wengine wanazifungia kwenye kabati na zinapangwa kama mafungu ya nyanya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2535294
Tunawaimbianga hio stori hawaskii😂 many people do that..my cousin has vehicles with Tanzanían registration plates😂
Haya basi gari ni ya mtanzania umefurahi[emoji1787]Hakuna ushahidi wowote Kama hiyo gari ni ya mkenya, hayo maandishi uliyoambatanisha hapo tumezoea kawaida ya wakenya kupenda kuonyesha Kila kitu kizuri ni chakwenu.
Mlishawahi kusema "buses" za BRT Tanzania zimetengenezwa Kenya, Magufuli aliletwa Kenya, Meli kubwa tunayounda Kule ziwa Victoria imejengwa na wakenya, yaani ninyi mpo na matatizo makubwa Sana ya kupenda kujisifu na ni watu waongo Sana.
Hata hii picha hapa mlishaiweka na mkasema hapa ni Nairobi
Kenya hampo sawa "mentally", mko na shida kubwa sana ya kudanganya na kupenda kujikweza Sana.
Rudi kwenye mazungumzo kwanza na uelewe kwanza tulikua tunazungumzia nn kenge wa blue wewe 🤣🤣🤣🤣Mna import aje Cayenne ya 2007 model,kwani age limit ni 20 years? Tanzania surely 😂😂View attachment 2535577View attachment 2535578
Gari iko registered uganda unalazmisha iwe gari ya kenya hvi nyinyi akili zenu hua ziko sawa kweli 🤣🤣🤣🤣Haya basi gari ni ya mtanzania umefurahi[emoji1787]
Alinionesha bently inapigwa vumbi nikamuonesha wengine wanapanga kwenye kabati kama mafungu ya nyanya are u happy now 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii picha nimeiona since niingie kwa hii forum on 2017 😂 hamna myingine?
Ata mimi i have a car i bought in tz,coz of their cops they never want to see kenyan plates[emoji1787]Tunawaimbianga hio stori hawaskii[emoji23] many people do that..my cousin has vehicles with Tanzanían registration plates[emoji23]
So do these bus companies kina Tahmeed, Modern Coast etc
Wivu tu ndio umejaza , unachukia kuona wakenya wakiendelea juu unajua ni tishio pole sana ichogal, we will keep moving ahead na chuki zakoGari iko registered uganda unalazmisha iwe gari ya kenya hvi nyinyi akili zenu hua ziko sawa kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hvi ww unajua tahmeed ni mtanzania kiasili na je unajua mama yake mzazi anaishi tanga na kajengewa na tahmeed nyumba kubwa ya kifakhari sana pale tanga au huna taarifa hio 🤣🤣🤣🤣 ataachaje kuja kuekeza tanzania ikiwa ni kwao kiasili na sio bus huku ana mpaka truck logistic company inaitwa tahmeedTunawaimbianga hio stori hawaskii😂 many people do that..my cousin has vehicles with Tanzanían registration plates😂
So do these bus companies kina Tahmeed, Modern Coast etc
Wivu wa nn wakat gari ina plate number ya uganda so wivu unahusika vipi hapo??🤣🤣Wivu tu ndio umejaza , unachukia kuona wakenya wakiendelea juu unajua ni tishio pole sana ichogal, we will keep moving ahead na chuki zako
Yaani hawa watu ni vituko 🤣🤣🤣🤣 kaaahHuna hela, sa kwanini unalazimisha tukuone kuwa unazo? [emoji23][emoji23][emoji23]