Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wivu zako ndio zakijinga tu, anything kenyans have you want to belittle , wewe unakuanga mswahili proper, endelea kuwashwa mama[emoji1787]View attachment 2535788
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 so niwe na wivu as if what kwamba ni yako au???? Yani niwe na wivu na ww au?? 😆😆😆😆😆😆😆
Screenshots_2023-03-03-12-26-11.png
 
Ukisoma comments hapo chini, utagundua utofauti kati ya wakenya na Tanzania. Kama hii video ingekua inaisifia Kenya, wakenya wangeweka comments za kujisifia Sana, lakini ona jinsi watanzania walivyo wastaarabu.

Kuna mkenya mmoja chini kabisa, nadhani ndiye alikua mtu wa kwanza kupost jina lake ni Rebecca, tayari alishaonyesha rangi ya wakenya ilivyo, lakini watanzania walipoanza kuchangia, ninahisi aliona aibu hajarudi Tena.

Hongereni Sana watanzania, tuendeleeni kuwa mfano wa upendo, amani na ustaraabu hapa Afrika.
 
You think they don't know the truth? Wabongo wengi humu ubishi ni hobby yao.
This is becaming too much

1)Chakula
2)Cooking gas
3) Remittances
4) Foreign currency $
5)Raw materials
6)Finished goods
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom