Kweli ni express ya mchina lakini naomba kuuliza swali hvi pamoja na filter kukolea hvo ndio hua munamaliza ujenzi wa barabara serious??? 🤣🤣🤣🤣 udongo umezagaa ovyo majani yako ovyo miti iko ovyo
😀😀 vita ya 🇰🇪 vs 🇳🇬
🤣🤣🤣🤣🤣 hii dunia jamani hvi kwanza hio GDP inafanya kazi gani
Ni GDP kama GDP tuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii dunia jamani hvi kwanza hio GDP inafanya kazi gani
Na huwe kuskia hata watu wakiongea tanzania kwasababu gari kama hzo zimezoleka kwa sasa 🤣🤣🤣🤣 ukumbuke ni mbili tofaut hzo DXT and number EAT
Is that ford everest 2023???🤣🤣🤣🤣Leo umekosa content kabisa, nimekupiga kama mbwa hadi unatuonyesha Ford Everest. 🤣🤣🤣 Ona Bentley brand new wachana na Mercedes gari ya kawaida.
![]()
Unataka kucompare Bentley gari inabeba King of UK na Ford Everest, ndio maana wewe ni pumbavu.Is that ford everest 2023???🤣🤣🤣🤣
Nimekuuliza is that everest 2023 🤣🤣🤣 matusi mapovu ya nn budaa mm nimekuuliza is that everest 2023 au umetafuta umeikosa kenya sasa ishakua mbaya tuUnataka kucompare Bentley gari inabeba King of UK na Ford Everest, ndio maana wewe ni pumbavu.
Hadi inaokota vumbi.Nimekuuliza is that everest 2023 🤣🤣🤣 matusi mapovu ya nn budaa mm nimekuuliza is that everest 2023
View attachment 2535285
Mm nakushauri kitu na uzingatie watanzania ni watua wanaopenda sana vitu vizuri yani hamuwezi shindana na watanzani kwa vitu vizuri na kwa kumiliki vitu vizuriUnataka kucompare Bentley gari inabeba King of UK na Ford Everest, ndio maana wewe ni pumbavu.
Sasa kama ndio imefia hapo kwann isiokote vumbi au unafkiri vumbi inamuamana 🤣🤣Hadi inaokota vumbi.
![]()
Huku wengine wanazifungia kwenye kabati na zinapangwa kama mafungu ya nyanya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hadi inaokota vumbi.
![]()
Kenya is a lawless, direction less countryIngekua bongo, angeambiwa afungue offisi kwa ground kwanza. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Kila wakati unatuonyesha hizi, kwani hakunanga zingine mpya. 🤣🤣🤣 Utarudia picha hadi Yesu arudi.Huku wengine wanazifungia kwenye kabati na zinapangwa kama mafungu ya nyanya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2535294
Ebu jiulize mbona hua inakuja kufanyiwa service Kenya. 😂😂😂 Bongo hamna mechanics wa machines kubwa.Nimekuuliza is that everest 2023 🤣🤣🤣 matusi mapovu ya nn budaa mm nimekuuliza is that everest 2023 au umetafuta umeikosa kenya sasa ishakua mbaya tu
View attachment 2535285