Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu jiulize mbona hua inakuja kufanyiwa service Kenya. 😂😂😂 Bongo hamna mechanics wa machines kubwa.

Hebu we tizama kwa macho ziko sawa ??🤣 au brown sasa hvi ni black
images - 2023-03-02T211408.817.jpeg
images - 2023-03-02T211104.308.jpeg
 
Yani umekosa everest ya 2023 sasa hasira unanirushia mm kaaah budaa🤣🤣🤣🤣 na ile cadilac vp hujapata ikiwa na plate number ya kenya au ilishaenda kwa wenyewe
Bado unalia kuhusu Ford.🤣🤣🤣 Another brand new Bentley Bentyga

Image
 
Nimekwambia ukipata hio cadilac ina plate number ya kenya unitag nifunge acc 🤣🤣🤣 kwasasa inaenda wenyewe hata ukikasirika vumilia tu
Bado unalia 🤣 🤣 🤣 Kama huwezi tuonyesha ikiwa nchi ingine nyamaza.
 
Nimekwambia ukipata hio cadilac ina plate number ya kenya unitag nifunge acc 🤣🤣🤣 kwasasa inaenda wenyewe hata ukikasirika vumilia tu
Hata hii Lamborghini Urus ya Mombasa County Speaker bado unalia si ya kenya.🤣🤣🤣🤣

Hata hii Lamborghini Urus ya Mombasa County Speaker bado unalia si ya kenya.🤣🤣🤣🤣

Ukipata ina plate number ya kenya unitag nifunge acc simple and clear mbona kwetu hakuna magumashi 🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshots_2022-12-30-20-18-43.png
 
Back
Top Bottom