joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mkuu, hiyo ni lugha tu ya kujadiliana, sina maana kwamba ni jamaa yako kwelikweli[emoji23][emoji23][emoji23]Nani kasema ni Jamaa yangu?
![]()
Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana
Hello! Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana. Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa? Nyie wafuasi wa CHADEMA...www.jamiiforums.com
Si unaona hata Mimi alinikwaza Hadi nimemfungulia Uzi huko jukwaa la siasa.Mkuu, hiyo ni lugha tu ya kujadiliana, sina maana kwamba ni jamaa yako kwelikweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza wivu ichogal gari ni ya mkenyaHata siwezi shangaa pia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siku utapata ina plate number ya kenya unitag nikurahishishie kazi plz
View attachment 2535344
Hiyo barabara ya vumbi si inaelekea mpakani hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ju hii Cadillac iko nchi gani? Ju me naiona ikiwa Kenya.
Mkuu, tunatatizo kubwa Sana la upinzani hapa Afrika, kidogo mtu ambaye ninamuelewa hapa Afrika ni Julius Malema, hawa wengine hata siwaelewi kabisa, hawana muelekeo wao wa kutaka kuongoza nchi, wao huenda na matukio ya wakati huo.Si unaona hata Mimi alinikwaza Hadi nimemfungulia Uzi huko jukwaa la siasa.
Hio sisi hatujui ila tunajua ni gari ya uganda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna mpuuzi mmoja wa kikenya alidai eti hii picha ya kwanza ni NAIROBI akatamba sana .. kumbe ni duniani uko, eeh jamaa wataacha lini na sifa kama Dully minus money 🤣🤣 👇.
Hakuna ushahidi wowote Kama hiyo gari ni ya mkenya, hayo maandishi uliyoambatanisha hapo tumezoea kawaida ya wakenya kupenda kuonyesha Kila kitu kizuri ni chakwenu.
Hio sisi hatujui ila tunajua ni gari ya uganda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2535515
View attachment 2535516View attachment 2535517
Hujawazoea tu hawa kondoo?
Kila kitu kizuri ni chao!
Hawana ila watajitutumua waonekane wanayo.
Hii pia walisema ni yao. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa malema na mihemko yake huyo ndio simtaki kabisaa..Mkuu, tunatatizo kubwa Sana la upinzani hapa Afrika, kidogo mtu ambaye ninamuelewa hapa Afrika ni Julius Malema, hawa wengine hata siwaelewi kabisa, hawana muelekeo wao wa kutaka kuongoza nchi, wao huenda na matukio ya wakati huo.
Mfano mzuri hapa kwetu, wote wanazungumzia katiba, ukiwauliza baada ya hiyo katiba kupatikana nini wanataka kuwafanyia wananchi "physically on the ground", hawajui na kamwe hawafikirii Hilo.
Huko Kenya, walililia katiba Sana, baada ya kuipata hawajulikani nini wamewafanyia wakenya, Kila siku wanakuja na mambo mapya, mara BBI, mara Punda amechoka kubeba mzigo, Sasa hivi wameshikilia bei ya unga[emoji23][emoji23][emoji23]