Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa malema na mihemko yake huyo ndio simtaki kabisaa..

Mpinzani wangu alikuwa ni Morgan Tsvanherai walau na Tendai Biti kutoka Zim.
Mkuu, Malema tatizo lake ni hasira na mihemuko na kuwachukia wazungu kupitiliza, lakini ana "vision" Sana, na anajua nini wananchi wanataka na jinsi ya kuwafikisha huko.

Ni kweli akipewa nchi Kuna watu wataumia Sana, ila watu weusi waliowengi watafaidika Sana, ni mkorofi, hajui diplomasia lakini ni kiongozi mwenye uwezo mkubwa wa kutatua matatizo ya watu.
 
Wivu wa nn wakat gari ina plate number ya uganda so wivu unahusika vipi hapo??[emoji1787][emoji1787]

Nyinyi ndio munachukia kuona tanzania imeinuka kwa speed ya ajabu within 10 yrs ndio maana hamulali sasa hvi munakesha na tanzania midomoni mwenu [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

Atleast ningekua siijui kenya kweli ungenidanganya lakini najua mpaka rangi za chupi zenu just imagine [emoji1787][emoji1787]
Hamna kitu unajua wewe ni wivu na chuki pekee, kwani unadhani sijui tanzania pia, mimi nikona gari ya tz plates, swali gari ni yangu ama ya mtanzania?
 
Hvi ww unajua tahmeed ni mtanzania kiasili na je unajua mama yake mzazi anaishi tanga na kajengewa na tahmeed nyumba kubwa ya kifakhari sana pale tanga au huna taarifa hio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ataachaje kuja kuekeza tanzania ikiwa ni kwao kiasili na sio bus huku ana mpaka truck logistic company inaitwa tahmeed

Kazi yenu nyinyi ni kujisifia kwa vitu si vyenu hii tabia acheni na mubadilike kwani dunia ishabadilika zaman na mutambue dunia hii hata mtoto wa mwaka mmoja hamuwez kumdanganya [emoji14][emoji14][emoji14]
Hao waarabu wanakuanga na asili ya kenya na tanzania, we know their ways, brother mmoja mtanzania mwingine mkenya,soko na opportunities ndio muhimu kwao same as buscar
 
Hao waarabu wanakuanga na asili ya kenya na tanzania, we know their ways, brother mmoja mtanzania mwingine mkenya,soko na opportunities ndio muhimu kwao same as buscar
Hata huyo joho governor wenu asili yake ni tanzania tanga labda nikupe elimu ulikua huijui 🤣🤣🤣🤣 na kwao hasa ni tanga

Gari ni ya uganda ila roho inawatoka nyinyi kaaah yani pilipili ale mseven alaf kuwashwa uwashwe wewe 🤣🤣🤣 badilikeni dunia ishawatupa mkono sasa hvi na sifa za kijinga ambazo sio zenu acheni ndio maana leo munaumbuka kila kona
 
wewe niambie mbona mna import gari ya 2007 in 2023 acha kuhepa 🤣
Rudi kwenye maongezi utaelewa kwann nimepost hio trailer imebeba magari 🤣🤣 unakuja tu unarukia maada ambayo mwenzio kidogo imtoe busha hapa
 
Rudi kwenye maongezi utaelewa kwann nimepost hio trailer imebeba magari 🤣🤣 unakuja tu unarukia maada ambayo mwenzio kidogo imtoe busha hapa
Age limit yenu na kinachoeldelea kwa ground are totally contrasting 🤣
 
Hata huyo joho governor wenu asili yake ni tanzania tanga labda nikupe elimu ulikua huijui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kwao hasa ni tanga

Gari ni ya uganda ila roho inawatoka nyinyi kaaah yani pilipili ale mseven alaf kuwashwa uwashwe wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] badilikeni dunia ishawatupa mkono sasa hvi na sifa za kijinga ambazo sio zenu acheni ndio maana leo munaumbuka kila kona
Wivu zako ndio zakijinga tu, anything kenyans have you want to belittle , wewe unakuanga mswahili proper, endelea kuwashwa mama[emoji1787]
Screenshot_20230303-130948_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom