ChoiceVariable Mkuu, hawa ndio viongozi ambao unawaamini kutekeleza makubaliano ya kuondoa vikwazo vya biashara?.
Katiba makubaliano ya EAC ni kuwepo kwa "free movement of labour people and goods", hata katika vile vikwazo vilivyoondelewa katika lile gazeti uliloweka ni hicho Cha watu kuruhusiwa kufanyakazi popote.
Sasa msikilize huyu naibu rais anakataza Rostam Aziz asiajiri watanzania
Taifa Gas Investment SEZ has commenced construction of LPG plant at Dongo Kundu.
www.the-star.co.ke
Kesho utasikia kelele za Wakenya kwamba watanzania wakiwa Kenya hawabughudhiwi, ila Wakenya hawaruhusiwi kufanya KAZI Tanzania, bahati mbaya wewe unasikiliza kelele zao