joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ninakuhakikishia, 80% ya maneno yake hayatatekelezwa. Viongozi wengi wa Kenya na 90% ya raia wa Kenya hawaamini kwenye ushirikiano wenye kufaidisha pande zote zenye kushirikiana. Uchoyo, uchu, ubinafsi wa wakenya umepitiliza mipaka.

