Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, ndio sababu nikakuambia waulize wafanyabiashara wakubwa ambao wanakwenda Kenya kuwekeza, hao ndio wanaowajua wakenya, wewe hujawahi kuwa mfanyabiashara mkubwa ambaye unaweza kuwa tishio kwa wafanyabiashara wa Kenya, wewe uliajiriwa na kufanya kazi na wakenya.

Wewe unachanganya kati ya utendaji kazi wa wakenya na Kenya kuwa ni nchi inayoruhusu biashara huru, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa. Wewe ulifanyakazi na wakenya, kwahiyo unawajua vizuri utendaji wao wa kazi ukilinganisha na watanzania, lakini hujawahi kwenda Kenya kuwekeza, huko hukujui vizuri, wanaowajua vizuri wakenya katika uwekezaji ni
1)Serikali ya Uganda
2) Rostam Aziz
3)Aliko Dangote
4)Mo Dewji
5) Bakhresa
Waulize watakujuza vizuri.

Kuhusu kuondoa vikwazo vya biashara, Hilo kwa wakenya Wala lisikupe matumaini yoyote, hakuna vikwazo vyovyote vya biashara kati ya Kenya na Uganda, lakini Kenya wanaamua tu kuzuia bidhaa za Uganda bila kufuata taratibu za makubaliano.

Mkuu jipe muda vizuri wa kuwajua wakenya, usifurahie maneno na maandishi Kama hayo ya kwenye magazeti, inapofika kwenye utekelezaji, wakenya wanaangalia maslahi Yao, kamwe hawajali Kama kulikua na makubaliano yoyote, Kenya ni "man eat man society", never trust them.
Vikwazo na kutoaminiana kupo ila inatakiwa utashi wa Kisiasa kama unavyoona Ruto anafanya ,haya mambo huanzia Kwa Wanasiasa sio tuu wa Kenya Bali na Tanzania.

Ndio maana Afrika haiwezi kuendelea na inashindwa kufanya biashara inavyostahili baina yake Kwa sababu ya mawazo na hisia za kipuuzi kama hizo za kutoaminiana etc..

Kwa nini iwe rahisi kufanya biashara na Nchi za Mbali kuliko Afrika Kwa Afrika? Huoni Kuna shida hapo? Matokeo yake ni umaskini wa Kutolea Kwa sababu watu wengi hawawezi fikia masoko ya mbali plus lugha nk nk.
 
Kule twitter kuna mjadala unaendelea tangu wiki iliyopita namna bank ya Equity inavyoiba na kukomba pesa za wakenya Kwenye akaunti zao.
 
Geita

1677311280854.png
 
Naona sasa ushamba unaendelea kuishi. Mzee sisi tunajenga majumba wenyewe kijijini.
Kuna vijiji nikikuonesha hapa utakimbia.
Hakuna kijiji chochote kenya kinaweza shindana na vijiji vya Tanzania.
Kama unabisha sema.
Kama mjini mnajenga Huu uchafu Sasa kijijini mtakuwa na majumba?🤣🤣
images - 2023-02-25T105235.763.jpeg

Wewe Nina uhakika kijijini mamako anaishi kwa nyumba ya tope.
 
Kwahiyo huko kenya kuna nyumba moja tu? Sijaona ukiweka kitu kingine. I told you The villages of Tanzania are more developed than your big towns
Hata sijui tunapingana nini na wewe. If you think Tanzanian villages are full of these kind of houses then well and good. You're right. Wengine wenu hata mkiambiwa jua huchomoza Mashariki na kutua Magharibi mtapinga tu. tuusan saidia hawa wananchi wenzako.
 
Asante kwa kukubali kuwa huko kenya miji yenu ni mibovu inazidiwa na vijiji vya Tanzani.

Congratulations on being a gentleman
 
Vikwazo na kutoaminiana kupo ila inatakiwa utashi wa Kisiasa kama unavyoona Ruto anafanya ,haya mambo huanzia Kwa Wanasiasa sio tuu wa Kenya Bali na Tanzania.

Ndio maana Afrika haiwezi kuendelea na inashindwa kufanya biashara inavyostahili baina yake Kwa sababu ya mawazo na hisia za kipuuzi kama hizo za kutoaminiana etc..

Kwa nini iwe rahisi kufanya biashara na Nchi za Mbali kuliko Afrika Kwa Afrika? Huoni Kuna shida hapo? Matokeo yake ni umaskini wa Kutolea Kwa sababu watu wengi hawawezi fikia masoko ya mbali plus lugha nk nk.
Ndio sababu nimekushamgaa Sana kuwataja viongozi wa Kenya kwamba ni watu wenye kupenda ushirikiano wa biashara.

Katika nchi ambayo haipendi kabisa ushirika wa biashara katika ukanda huu, Kenya inaongoza. Kenya itashirikiana na nchi yoyote ya jirani pale itakapoona kwamba yenyewe itafaidika zaidi kuliko, au Kama hawana jinsi ya kufanya.

Kenya inalazimika kujipendekeza kufanya biashara na Tanzania kwa sababu uchumi wa Kenya unaitegemea Sana Tanzania, bila Tanzania uchumi wao utavurugika wote
1)Mali ghafi zitokanazo na kilimo Kama vile pamba, katani, miti na Alizeti, Kenya inategemea Tanzania by 70%
2)Vyakula vya binadamu na wanyama, matunda na viungo, Kenya hutegemea Tanzania by 40%
3)Gas za kupikia, na muda sio mrefu tunawapelekea Bomba la gesi.
4)Kenya hutegemea kutumia ardhi ya Tanzania kupitisha bidhaa zao kwenda masoko ya nchi za SADC
5)Tanzania is the biggest Business partner in Afrika. Kenya is not the biggest Business partner to Tanzania

Mambo haya yanaifanya Kenya kuiogopa Tanzania, ndio sababu wanashindwa kutuchezea Kama wanavyowachezea waganda, lakini kamwe usiwasifie viongozi wa Kenya kwamba wanapenda ushirikiano wa kibiashara.

Mkuu wakenya sio watu wazuri katika kufanya nao biashara. Hivi hujiulizi kwanini Bakhresa akimbilie kuwekeza katika nchi zote zinazotuzunguka, Hadi ameenda kuwekeza South Afrika lakini asiende Kenya wakati Kenya ndio nchi yenye uhitaji mkubwa wa Vyakula?
 
Kwanza the competition it brings itasaidia sana consumers. Monopoly ilkua inatuumiza sana
Ndo utasikia vijistatement za we are controlling ur gas . Yet b4 Rostam came we been having the largest storage facility of 20000 MT. Any capitalistic state knows competition is good for any growing economy.
 
A center for excellence in Tourism and Hospitality. Students watatoka almost all over Africa kuja kusomea hapa, haswa hawa bongolalas.
Eneo bora la utalii barani Afrika ni Tanzania. Sasa hao waje kusoma hapa wakafanye nini kwao wakati hakuna shughuli za Utalii.

Taja nchi 10 za kitalii hapa Africa

A large percentage of Kenyans are stupid
 
Wewe taja University kumi hapa Africa ambazo zina specialize on Tourism and Hospitality pekee? Wewe fala Hospitality is a very big industry, hio akili yako ndogo isikudanganye utalii ni about wildlife and beaches pekee yake.
 
Nimeshakwambia Jiwe alikuwa na sera za Kijamaa,Jiwe alikuwa nanuhasama na Kenya alaharibu soko letu la Mahindi,mbogamboga,matunda eg parachichi na mazao ya kuku nk..

Inawezekana hujui kitu Kwa sababu unaishi Kwa salary,Teknolojia ya Kilimo Kwa sehemu kubwa inaingia kutoka Kenya Tanzania na mbegu za mazao nyingi tunaagiza huko huko..

Mfano Dar airport hapo hakuna hata cold storage facilities zote ziko Kenya labda saizi ndio nilimsikia wanajenga Sasa ukigombana nao Kwa hisia za kijinga tuu matokeo yake ndio hayo Sasa..

Mwisho Jiwe na private sector wapi na wapi? Ajira zenyewe alikuwa hatoi na hana strategy ya kufanya watu wajisajili kisa tuu anataka watu wawe mafukara Ili awatawale anavyotaka,huu ni upuuzi..

Jiwe alikuwa anataka kutufanga kama Ethiopia,mna mna ma Sgr,ma ndege sijui nn ila watu maskini wa kutupwa wanakimbia kwao..

Wewe kwako hivyo unaona ni sawa?
Sio kweli, JNIA, KIA, Mwanza kote kuna cold storage facilities ndio maana nyama, maua, mbogamboga, matunda na samaki zinaweza kutokea hapa bila tatizo. Please get informed.
 
Back
Top Bottom