Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dony worry Tanzanians have come to the rescue.
The same Tanzania where only 7% use LPG for cooking compared to 24 % in Kenya? 😂😂😂😂😂
Wewe ni kichaa si bure.
You need to rescue yourselves first before thinking of others

Screenshot_20230224-232939~2.png

Kila siku tunaambiwa hapa kwamba itawachukuwa miaka mingi sana mfike tulipo ila manaonanga ni madharau.
 
Kila kona ya nchi mambo ni motohttps://twitter.com/mamayukokazini/status/1629056549510426625?t=ySE7jGG4CbUb1VKjMyhatw&s=19
 
Washaingiwa na uoga

Uoga gani bongolala? Huyo ni mwekezaji na anajua mahali pesa iko. Why would he waste his money in Tanzania where only 7% of all households use gas for cooking? Anajua Tanganyika hakuna soko kwa hivyo akaona afulize hadi Kenya ambapo asilimia kubwa ya wananchi wanatumia gesi kupikia ikilinganishwa na Tanzania. Ni akili mtu wangu
 
Ukiwasikia humu unaweza dhani wanatokea yurop kumbe wanatokea failed state.
That 'failed state' has more domestic gas users than your heaven on earth country where only 7% of households know what LPG is! You should even be ashamed that despite Tanzania having natural gas deposits, asilimia kubwa ya watanzania hawana matumaini ya kutumia gesi kupikia nyumbani
 
Lakini according to Ma-Rope pia sisi hatuko vizuri, actually sisi ni wa kwanza then wanafuata wao hivyo tusichekane sana

View attachment 2528738View attachment 2528739
Hii hautaona wakiuliza ni ya mwaka gani. The pot calling the kettle black! 😂😂😂😂
Umewapa za uso bado wanauguza majeraha
 
Sisi wala hatujakataa, nakumbuka kauli ya waziri miezi michache iliyopita,
Shida ni wakunya kujigamba humu kumbe wapo ovyo.
Si unakumbuka pia walituambia humu kuwa huwa wananunua magari mapya mapya tu zero km!
Kusema wakenya wengi hutumia cooking gas kuliko watanzania ni majigambo? 😂😂😂😂
 
Uoga gani bongolala? Huyo ni mwekezaji na anajua mahali pesa iko. Why would he waste his money in Tanzania where only 7% of all households use gas for cooking? Anajua Tanganyika hakuna soko kwa hivyo akaona afulize hadi Kenya ambapo asilimia kubwa ya wananchi wanatumia gesi kupikia ikilinganishwa na Tanzania. Ni akili mtu wangu
This people are too slow and shallow to think of Kenyans being jealous of an investment. Kenyans don't look of nationality when doing business. Why would we feel bad knowing it's the biggest in Africa? Think of the number of direct and indirect Job creation. We need open minded guys like him to come and invest where there is money. Kama hyo ndo kusikia vibaya Pogezi kwenu👏👏
 
The same Tanzania where only 7% use LPG for cooking compared to 24 % in Kenya?
Wewe ni kichaa si bure.
You need to rescue yourselves first before thinking of others

View attachment 2528990
Kila siku tunaambiwa hapa kwamba itawachukuwa miaka mingi sana mfike tulipo ila manaonanga ni madharau.
Wewe ni kichaa na ndiyo maana hujaweka evidence to support your rubbish, sisi ndiyo tumewaletea gesi huko kwenu kuanzia ya kupikia mpk ya viwandani tutawaletea na bado unaleta ki article cha kutunga ili ujifariji.
 
That 'failed state' has more domestic gas users than your heaven on earth country where only 7% of households know what LPG is! You should even be ashamed that despite Tanzania having natural gas deposits, asilimia kubwa ya watanzania hawana matumaini ya kutumia gesi kupikia nyumbani
Kwenu ndio kwanza tumewaletea sasa hivi gesi, sisi huku kwetu zipo kampuni nyingi za gesi na zote zinauza na huko kwenu shit hole country.
 
This people are too slow and shallow to think of Kenyans being jealous of an investment. Kenyans don't look of nationality when doing business. Why would we feel bad knowing it's the biggest in Africa? Think of the number of direct and indirect Job creation. We need open minded guys like him to come and invest where there is money. Kama hyo ndo kusikia vibaya Pogezi kwenu
Tunajipongeza kwasababu now tumeshikilia uchumi wenu.
 
The same Tanzania where only 7% use LPG for cooking compared to 24 % in Kenya?
Wewe ni kichaa si bure.
You need to rescue yourselves first before thinking of others

View attachment 2528990
Kila siku tunaambiwa hapa kwamba itawachukuwa miaka mingi sana mfike tulipo ila manaonanga ni madharau.
Kwendaaaa unaleta habari ya 7 years ago hapa? Very desperate.
 
Uoga gani bongolala? Huyo ni mwekezaji na anajua mahali pesa iko. Why would he waste his money in Tanzania where only 7% of all households use gas for cooking? Anajua Tanganyika hakuna soko kwa hivyo akaona afulize hadi Kenya ambapo asilimia kubwa ya wananchi wanatumia gesi kupikia ikilinganishwa na Tanzania. Ni akili mtu wangu
Usijali sasa mtapata relief kwenye gas. Your own citizens, politicians na some unscrupulous government officials waliwashika pabaya sana kwa monopoly ya gas.
 
Back
Top Bottom