The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Tunashukuru mmekubali Watz waje kuwekeza huko kwenu sasa namba mtaisoma, tunachukua pesa zenu tunarudisha nyumbani, kama wazungu wa kwenye chai wanavyowatafuna ndivyo na cc tutakavyofanya, asanteni sana Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rostam Aziz katuongezea number za FDI pale na Taifa gas. Kenya is truly the investment hub of East Africa