Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another Tanzanian investment in Kenya.

Screenshot_20230224-191649_Opera.jpg
 
70% of households rely on firewood
Lakini according to Ma-Rope pia sisi hatuko vizuri, actually sisi ni wa kwanza then wanafuata wao hivyo tusichekane sana

IMG_20230224_191852.jpg
IMG_20230224_191953.jpg
 
Lakini according to Ma-Rope pia sisi hatuko vizuri, actually sisi ni wa kwanza then wanafuata wao hivyo tusichekane sana

View attachment 2528738View attachment 2528739

Sisi wala hatujakataa, nakumbuka kauli ya waziri miezi michache iliyopita,
Shida ni wakunya kujigamba humu kumbe wapo ovyo.
Si unakumbuka pia walituambia humu kuwa huwa wananunua magari mapya mapya tu zero km!
 
Lengo kuu la katiba ni lipi kama sio kuboresha maisha ya wananchi walio wengi kwa kuweka mfumo wa utawala ambao utaweza kujibu na kutatua shida za wananchi?.

Crime ni miongoni mwa tatizo sugu linalowasumbua wakenya kwa muda mrefu Sana, Sasa Kama katiba yenu Haina uwezo wa kutatua shida zenu, Ina faida gani kwenu?
Bongolala, nilikuambia kwamba crime iko hata US. Does it mean kwamba US haina katiba bora? Heri tu unyamaze
 
Another Tanzanian investment in Kenya.

View attachment 2528737

Kwa zile remittance zinazotumwa Kundustan , Bora na Sisi Tukachukue Remittance zao kidogo , Zile za Tanzania pia zitarudi kidogo home.
 
Lakini according to Ma-Rope pia sisi hatuko vizuri, actually sisi ni wa kwanza then wanafuata wao hivyo tusichekane sana

View attachment 2528738View attachment 2528739
Exactly what I said tuusan .🤣🤣🤣
Three words - Pot. Kettle. Black.

It is a pity that despite the fact that Tanzania produces and exports natural gas to us, only 4% of Tanzanians use natural gas vs 17% of kenyans.🤣🤣
 
Back
Top Bottom