Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi unadhani Tz kuna tofauti ama? Kila siku Mimi huwaambia humu, tofauti ya Kenya na Tz ninkuwa Kenya tunazo data za standards of living kibao na tunaziweka wazi. Hapo Bongo bado mko kwa ignorance in bliss.
Nafahamu sana hapa hali ikoje...lakini mbaya zaidi ni kwamba hatupishani kwenye maeneo kama hayo...wanaoutumia gas kupikia ni kundi dogo tu mkaa ndio kwa sana ilo lipo wazi

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
IMG_214027_24223.jpg
IMG_214033_24223.jpg
IMG_214021_24223.jpg
 
Back
Top Bottom