Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣







Hebu tazameni hii gorofa kweli unaeza sema sio ya tope hii🤣🤣🤣
Screenshots_2023-02-19-00-10-03.png
 
In Nairobi construction is literally everywhere. I wonder how this city will look like three years from now.
View attachment 2522530View attachment 2522535
Hebu ww tu kwa macho yako tazama huu ujenzi alaf utaniambia magorofa yataacha kuanguka kila siku ??? Kwann maisha ya mkenya hayana thamani alaf unashangilia kabisa upuuzi 🤣🤣🤣
Screenshots_2023-02-19-09-07-39.png
 
Hili ni Godown au nyumba ya kuishi, huku madirisha huwa hawaweki?
Sijawahi kuona wachawi, ila stories zote ninazosoma kuwahusu ni kwamba huwa hawapendi mwanga, ni wachafu na wanachuki mbaya sana, na ukiwafanyia jema ndio umewapa sababu ya kukuroga. Kwahiyo usishangae kwanini hakuna madirisha kwenye jengo😂😂😂
 
Back
Top Bottom