Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Mkuu umetunyima picha ya ile DMDP Park, si kuna hawa jamaa wanasema kila siku eti Dar hakuna Parks wakati wao mji mzima wanaenda kukaa sehemu moja.
Panafaa sana Mkuu hapa na nimeona vibarabara vinavyoningia ndani vinajengwa. Hapa Mama samia na zile za TBA zilimalizika patakua patamu sana.
Hapa Magomeni Baada ya Jangwani, Mapipa, hadi Kagera pale pamekua eneno lingine zuri sana.
View attachment 2521696
View attachment 2521697
View attachment 2521698
View attachment 2521699
View attachment 2521700


.