Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,759



si wewe uweke ushahidi ya hizo sgr double stack zenye unajua isipokua ya kenyaUmeambiwa uweke ushahidi kuwa it is the only double stack sgr in Africa wewe unaleta picha ya double stack.
only double stack sgr in Africa is only in Kenya, kenya sgr also has carried more goods than danganyika sgrReli ya 25 tons per axle double stack labda ibebe containers tupu![]()
only double stack sgr in Africa is only in Kenya, kenya sgr also has carried more goods than danganyika sgr


























MGR imehamishwa itapita hapo waterfront kuingia port na SGR itatumia ile njia ya MGR.Sgr na Mgr zote zipo maeneo tofauti. Mgr ipo chini ha hili daraja, Sgr ipo baada ya water front na makao makuu ya dawasa.
Kumbuka SGR haina muingiliano na barabara za magari.Basi nilikuwa nawaza opposite. Ndio hio nimeona mizigo ya azam ikipita
Nilistuka sana niliposikia eti kuna raia wamelalamika zile apartments pale Magomeni kwa 48mil for 2 bedroom appartments ni ghali, nilistuka sana kwa kweli kwenye centre kama hiyo where you can navigate anywhere in the city kama unamsukuma mlevi and yet you got everything around you, tena nyumba umekuwa guaranteed kuinunua as ulikuwa tenant wa muda mrefu, hili deko wabongo litatupeleka pabaya.Personal Observation while walking today.
Magomeni becoming an important self sufficient area.
They have a new DMDP Park, Four BRT Bus stops servicing same area from each road( Kawawa x2 morogoro road x2) They have a new Market, A Big Church, Big Mosque , Hospital, New Administration Building , Banks, New Hotel.
Definitely decongesting the City, No one will go to Kariakoo or posta and leave everything available here .
View attachment 2521391
View attachment 2521392
Adminstration Building
View attachment 2521394
View attachment 2521395
Church and Mosque opposite
View attachment 2521396
The Market
View attachment 2521398
hili ndo tatizo la Watanzania ulalamishi kupita maelezo yaani kuna wakulungwa wanadai nauli ya tshs 30,000 SGR Dar Dodoma ni kubwa yet haohao wanakandia mabehewa! Sasa najiuliza mradi utajiendeshaje?Nilistuka sana niliposikia eti kuna raia wamelalamika zile apartments pale Magomeni kwa 48mil for 2 bedroom appartments ni ghali, nilistuka sana kwa kweli kwenye centre kama hiyo where you can navigate anywhere in the city kama unamsukuma mlevi and yet you got everything around you, tena nyumba umekuwa guaranteed kuinunua as ulikuwa tenant wa muda mrefu, hili deko wabongo litatupeleka pabaya.
Wakati Kenya wanaendelea kuhangaika na supermarkets economy sisi tunajenga vitu vyenye tricle down effects ya maana kabisa. Kweli maendeleo ni perseption. Kwa namna fulani naona manufaa ya ujamaa. Tunafikiria tofauti mno.
The price was above 70m ndio Rais akaingilia kati ikashushwa mpaka 48m. Sijasikia tena watu wakilalamia hiyo price ya 48m.Nilistuka sana niliposikia eti kuna raia wamelalamika zile apartments pale Magomeni kwa 48mil for 2 bedroom appartments ni ghali, nilistuka sana kwa kweli kwenye centre kama hiyo where you can navigate anywhere in the city kama unamsukuma mlevi and yet you got everything around you, tena nyumba umekuwa guaranteed kuinunua as ulikuwa tenant wa muda mrefu, hili deko wabongo litatupeleka pabaya.
Hata 70mil bado sio mbaya, Rais aliamua tu kupiga siasa, no wonder mashirika yetu hayaendelei na yanakufa namna hii alafu tunajikuta kwenye mtanziko ule ule wa kukosa makazi mazuri. Hivi mtu anaweza kununua nyumba Magomeni kwa 70mil sasa hivi? Tena hapa naongelea zile nyumba za miaka ya uhuru, sio hizi appartments zenye kila aina yaThe price was above 70m ndio Rais akaingilia kati ikashushwa mpaka 48m. Sijasikia tena watu wakilalamia hiyo price ya 48m.
Hebu nipeleken kwenye hili suala la kununua hizo nyumba (either website, thread, page, agent, etc, zenye full details) na mim nifuatilie.. naona niko nyuma sijui kinachoendeleaHata 70mil bado sio mbaya, Rais aliamua tu kupiga siasa, no wonder mashirika yetu hayaendelei na yanakufa namna hii alafu tunajikuta kwenye mtanziko ule ule wa kukosa makazi mazuri. Hivi mtu anaweza kununua nyumba Magomeni kwa 70mil sasa hivi? Tena hapa naongelea zile nyumba za miaka ya uhuru, sio hizi appartments zenye kila aina ya
Social amnesties.
hapakenya.com
na yote inaenda kampuni ya uchimbaji makaa ya mawe ya ccm!Tone 65,000 kila tone inauzwa $40.
Jumla ni $2,600,000.
Hiyo poland pekee.
Ruvuma Coal wanazalisha 100,000 kwa mwezi.
Wengine kwa ujumla wao wanazalisha 180,000 kwa mwezi. Jumla uzalishaji wa coal kwa mwezi ni wastani wa tone 280,000.
Chukua 280,000 x $40
Kila mwezi upande wa coal tunaingiza $11,200,000.
Halafu kuna vyama vinataka kuiondoa CCM. Ni ngumu mno. Kwa sasa CCM inajichimbia mizizi mirefu sana.na yote inaenda kampuni ya uchimbaji makaa ya mawe ya ccm!
wewe unafurahia hilo? nani anahakiki kama wanalipa kodi? Nani anamvika kengele paka?Halafu kuna vyama vinataka kuiondoa CCM. Ni ngumu mno. Kwa sasa CCM inajichimbia mizizi mirefu sana.