Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahio train ya abiria inaanzia bandarini?
Train ya abiria inaanzia stesheni ya mizigo inaanzia bandarini zinakutana ilala zote ziko kwenye mainline.

Kwakifupi mainline inagawanyika ilala kipande kimoja kinaingia port kingine kwenye pasengers terminal
 
Nilistuka sana niliposikia eti kuna raia wamelalamika zile apartments pale Magomeni kwa 48mil for 2 bedroom appartments ni ghali, nilistuka sana kwa kweli kwenye centre kama hiyo where you can navigate anywhere in the city kama unamsukuma mlevi and yet you got everything around you, tena nyumba umekuwa guaranteed kuinunua as ulikuwa tenant wa muda mrefu, hili deko wabongo litatupeleka pabaya.
Wananchi ni wa ajabu sana, wakivunjiwa nyumba zao wakalipwa 48m wanasema ndogo,
Tunatakiwa kubadilika
 
Wananchi ni wa ajabu sana, wakivunjiwa nyumba zao wakalipwa 48m wanasema ndogo,
Tunatakiwa kubadilika
Watu hawataki kuumia ili wapate,huwezi kupata pesa umekaa kibarazani unapepeta mdomo, mikoani kuna mashamba huko na vibarua kibao...unaweza toroka hapo mjini ukaenda Moro kulimisha hata ekari kumi mpunga badae unaweza kukutoa ..mitaji yakawaida tu wala huhitaji pesa nyingi...lakini wapi bana watu wamerelax mno

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kazi Iendelee.. tunaongeza tu mapori ya akiba
20230218_204331.jpg
 
Sio kweli, Tanzania iko mbele kwny Tech mbele ya nchi nyingi tu zikiwemo ulizozitaja,moja ya changamoto kubwa kwetu sisi, wasomi wetu hawaandiki research papers,article pamoja na journals na kuzi-publish duniani kwenye upande wa ICT na pia vyombo vya habari vyetu wamekuwa wazito sana kuueleza umma juu ya maswala yahusuyo ICT Tanzania, kwa kifupi tumeshindwa kujipambanua potential tuliyonayo dunia ikatutambua.
Hahahaha.....bro technology si siasa, huku tunahudhuria symposium na workshop kibao tu ambazo zinahusisha watu mbalimbali, ukweli tunaujua.....natamani tushtuke tufanyie kazi alichosema Tuusan, ni aibu kwa kampuni ya NALA kuwa na makao makuu Nairobi na customer base kubwa ya wa Kenya, pia takwimu nyingi za technology zinatuhukumu, YES ni kweli kuwa kuna individuals wachache wanafanya vitu wonderful sana.....LAKINI kwa ujumla hatuko vizuri
 
Cha ajabu MV Magogoni inafanyiwa ukarabati na Tender wamepewa Wakenya. Serikali hii sijui ina vipaumbele gani. Imewanyima tender Songoro marine kampuni iliojenga vivuko vingi tu nchini.
Songoro anatenda ya kivuko kimoja kipo kwenye katakana yake kigamboni pale
 
Kuna reason huwa mnaitwa mabongolala
Kati ya maajabu ya dunia ni kuona mtu anasifia maghorofa ya mjini wakati analala kwenye congested tin houses au Supermarkets ambazo hawezi kwenda kununua hata Big G alafu anakuja mbele ya wanaume wenzake na kutamba eti kwao wameendelea sana, ni maajabu na ndio maana kuna watu wanalipa toka huko ng’ambo kuja kushangaa binadamu wenye akili za namna hii😂😂😂
 
Kati ya maajabu ya dunia ni kuona mtu anasifia maghorofa ya mjini wakati analala kwenye congested tin houses au Supermarkets ambazo hawezi kwenda kununua hata Big G alafu anakuja mbele ya wanaume wenzake na kutamba eti kwao wameendelea sana, ni maajabu na ndio maana kuna watu wanalipa toka huko ng’ambo kuja kushangaa binadamu wenye akili za namna hii
Unasema nini hata hueleweki
 
Back
Top Bottom