Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,885
- 103,746
Kuna reason huwa mnaitwa mabongolalaWakati Kenya wanaendelea kuhangaika na supermarkets economy sisi tunajenga vitu vyenye tricle down effects ya maana kabisa. Kweli maendeleo ni perseption. Kwa namna fulani naona manufaa ya ujamaa. Tunafikiria tofauti mno.
Kwa sasa ngoja tuende hivi hivi maana hakuna chama kingine mbadala wa CCMwewe unafurahia hilo? nani anahakiki kama wanalipa kodi? Nani anamvika kengele paka?
Mashashola ni jina la kuku.
Kenya, Malawi, DRC, Uganda, Rwanda, Burundi wote wanategemea hayo makaa ya mawe!Tone 65,000 kila tone inauzwa $40.
Jumla ni $2,600,000.
Hiyo poland pekee.
Ruvuma Coal wanazalisha 100,000 kwa mwezi.
Wengine kwa ujumla wao wanazalisha 180,000 kwa mwezi. Jumla uzalishaji wa coal kwa mwezi ni wastani wa tone 280,000.
Chukua 280,000 x $40
Kila mwezi upande wa coal tunaingiza $11,200,000.
Walitaka wapewe bure kwakua niwazee hawana uwezo...ukisililiza hoja zao unaweza shangaa sanaNilistuka sana niliposikia eti kuna raia wamelalamika zile apartments pale Magomeni kwa 48mil for 2 bedroom appartments ni ghali, nilistuka sana kwa kweli kwenye centre kama hiyo where you can navigate anywhere in the city kama unamsukuma mlevi and yet you got everything around you, tena nyumba umekuwa guaranteed kuinunua as ulikuwa tenant wa muda mrefu, hili deko wabongo litatupeleka pabaya.
Sasa hivi hapa TZ pesa zinaingia nyingi mno.Kenya, Malawi, DRC, Uganda, Rwanda, Burundi wote wanategemea hayo makaa ya mawe!
Sio kweli, Tanzania iko mbele kwny Tech mbele ya nchi nyingi tu zikiwemo ulizozitaja,moja ya changamoto kubwa kwetu sisi, wasomi wetu hawaandiki research papers,article pamoja na journals na kuzi-publish duniani kwenye upande wa ICT na pia vyombo vya habari vyetu wamekuwa wazito sana kuueleza umma juu ya maswala yahusuyo ICT Tanzania, kwa kifupi tumeshindwa kujipambanua potential tuliyonayo dunia ikatutambua.Kumbe Tanzania kwenye mambo ya ICT tuko nyuma sana?tunazidiwa hadi na waganda?
App ya Nala ina ofisi Nairobi, na wateja wake wengi ni wakenya...Guys tuache midomo tushughulikie izo fursa, hatuna technology kwasababu zipi?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nilistuka sana niliposikia eti kuna raia wamelalamika zile apartments pale Magomeni kwa 48mil for 2 bedroom appartments ni ghali, nilistuka sana kwa kweli kwenye centre kama hiyo where you can navigate anywhere in the city kama unamsukuma mlevi and yet you got everything around you, tena nyumba umekuwa guaranteed kuinunua as ulikuwa tenant wa muda mrefu, hili deko wabongo litatupeleka pabaya.
Mfano mdogo ni fiber optics hakuna nchi inayotugusa East na Central, plan iliyopo sasa ni kuiwekea back up hata technical fault ikitokea ngoma inaswitch upande wa pili kama hakijatokea kituSio kweli, Tanzania iko mbele kwny Tech mbele ya nchi nyingi tu zikiwemo ulizozitaja,moja ya changamoto kubwa kwetu sisi, wasomi wetu hawaandiki research papers,article pamoja na journals na kuzi-publish duniani kwenye upande wa ICT na pia vyombo vya habari vyetu wamekuwa wazito sana kuueleza umma juu ya maswala yahusuyo ICT Tanzania, kwa kifupi tumeshindwa kujipambanua potential tuliyonayo dunia ikatutambua.
Ukihudhuria makongamano makubwa hili unaliona kwa uwazi kbs.Mfano mdogo ni fiber optics hakuna nchi inayotugusa East na Central, plan iliyopo sasa ni kuiwekea back up hata technical fault ikitokea ngoma inaswitch upande wa pili kama hakijatokea kitu
Hata hiyo inshu ya setelaiti ya Musk kati ya vitu tunavyodemand ni kufanya building capacity kwa watu wetu hao wenzetu waseme ni zao ila asilimia mia mbili ya wataalamu wana-oparate ni wageni upuuzi huo si hatutaki.
Tanzania iko mbali sana kwenye kubuni app zilizoleta mapunduzi makubwa kwny jamii kuna baadhi tumezishinda hata nchi zilizo nje ya mipaka ya Afrika, unaweza kuta wao wako kwny ngazi ya wilaya sisi tuko kwny ngazi ya mwananchi.
Kwahyo jibu umeshalipata sasaSio kweli, Tanzania iko mbele kwny Tech mbele ya nchi nyingi tu zikiwemo ulizozitaja,moja ya changamoto kubwa kwetu sisi, wasomi wetu hawaandiki research papers,article pamoja na journals na kuzi-publish duniani kwenye upande wa ICT na pia vyombo vya habari vyetu wamekuwa wazito sana kuueleza umma juu ya maswala yahusuyo ICT Tanzania, kwa kifupi tumeshindwa kujipambanua potential tuliyonayo dunia ikatutambua.
Huku bandarini sio main lineKumbuka SGR haina muingiliano na barabara za magari.
Unaweza piga picha za mbali na karibuMeanwhile hapa PUMA HQ tumeanza kupita juu, mji unaonekana kwa mbali..
View attachment 2520658
Mkuu napita tu hapo rush hourUnaweza piga picha za mbali na karibu